Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

Kuna kiongozi amezaliwa anajua kila kitu au ni kujifunza pia sehemu ya kazi.
?
Unaweza kushangazwa huyo jamaa akauweza huo mkoa vilivyo kuliko wote.
Mpe muda
 
Chalamila ataiweza Dar...Dar huwezi kuongoza kwa uswahili mwingi ....hizi taasisi za serikali zimekuwa zikifanya
Maamuzi ya kuumiza na kuonea watu sana hasa baada ya serikali kuhamia dodoma...BRT Mjiandae kupambana na shoto..

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
We are exceptional. Mkiamka asubuhi la kwanza mnataka kujua wa dar wana habari gani kabla hata ya kutaka kujua ya kwenu.

Tukifunga mipaka yetu msiingie huku hata sabuni ya kuogea mtakosa.
Hivi wewe ni mzaramo!

Hakuna mzaramo anayechagua mtu wa kuongoza mkoa wao ila nyinyi kenge wa kuja.
 
We are exceptional. Mkiamka asubuhi la kwanza mnataka kujua wa dar wana habari gani kabla hata ya kutaka kujua ya kwenu.

Tukifunga mipaka yetu msiingie huku hata sabuni ya kuogea mtakosa.
We unawaza sabuni kunguni nyie wa dar sisi tukisema hatuwauzii mchele viazi chps ugali mmeishaaa mtaregeza sauti mpaka mkauke
 
Hapo tukifungua inbox ya kismart tochi chako kimejaa msg kibao ukimuomba dada yako akuombee kwa shemeji yako utumiwe nauli uje dar kushangaa magorofa.

Unatoa kila ahadi kuwa ukija huku utafanya kazi zote za nyumbani as long as na wewe uwepo dar.
Afu mbona we wa mkoan tu sema majigambo na mashauzi ya kinanishabeby
 
Hivi wewe ni mzaramo!

Hakuna mzaramo anayechagua mtu wa kuongoza mkoa wao ila nyinyi kenge wa kuja.
ukute baba yako mzazi ni mzaramo pia halafu unashupaza shingo kutukana baba zako.

Huyo mkurya unaeaminishwa ni baba yako kapewa zigo tu alilee

kabla sijasahau, kenge mwenyewe.
 
We unawaza sabuni kunguni nyie wa dar sisi tukisema hatuwauzii mchele viazi chps ugali mmeishaaa mtaregeza sauti mpaka mkauke
Afu mbona we wa mkoan tu sema majigambo na mashauzi ya kinanishabeby
unajitekenya na kucheka mwenyewe.

unaongelea viazi na mchele, ukute humiliki hata bustani ya mboga. Umeshiba viazi vitamu vya kuchemsha msaada wa wazazi unauja kushupaza fuvu hapa.
 
Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi.

Uwezo wa fikra ni mdogo mno.

Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.

Uzi tayari.
Wivu tuu
 
Sio kwamba hatapaweza.kinachowashinda ma RC wengi Dar huo mji una wafanya biashara wengi wenye pesa ndefu,sasa kukununua ni kitu kidogo sana,tatizo ni kuwa ukikubali tu kununuliwa jiandae kuendeshwa nao na mwishowe utashindwa kuongoza,labda atokee mtu ambaye hatakuwa na tamaa ya pesa,vinginevyo watabadilishwa sana...
 
Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi.

Uwezo wa fikra ni mdogo mno.

Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.

Uzi tayari.
Wewe unaakili kuliko taasisi ya urais?,acha tabia za kimalayamalaya
 
Back
Top Bottom