The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kwanini usiseme upewe wewe hiyo kazi badala ya kuweka jina la Mwanri hapo?Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi.
Uwezo wa fikra ni mdogo mno.
Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
Uzi tayari.