Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

Wanaume wa Dar mlivyo wajinga na wapumbavu, nani ashindwe kuwaongoza?

Wanaume waoga waoga mnalazimishwa kulala mapema na panya rodi sembuse kuongozwa na yeyote?
Ila kuna watu mmevurugwa 😅😅😅
 
Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kaz...
Umemjudge kutokana na hayo maskhara yake au ulishawahi fanya kazi nae?
 
Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi...
Mama Samia ana huruma sana, ametumia huruma yake ya kimama kumsogeza Chalamila karibu na viwanda vya pombe. Kutoka ofisini kwake kwenda TBL atakuwa anatembea kwa miguu tu.

Afu mnatakiwa kufahamu kwamba ukuu wa mkoa sio cheo serious kiviiiiile. Hata ukimteua teja kuwa RC atamudu bila tatizo.
 
Kwa jinsi mnavyo penda starehe huyu atawafaa Sana, huyu ni Mzee kunywa bia kwa afya yako, lakini hapa mmepigwa za mbupu jiandaeni kuchuchumia tuu
 
Hivi mtu kama anaonekana hatoshi kwann kumuhamishia kwingine aende nako kujaribu ktk nchi yenye raia milioni 60+?!
Watu wenye maarifa ya kiuongozi miaka ya sasa wapo kibao lakini kiiila siku majina ni yaleyale tuu...katoka hapa kapelekwa pale.
Mungu tusaidie!.
 
Mama Samia ana huruma sana, ametumia huruma yake ya kimama kumsogeza Chalamila karibu na viwanda vya pombe. Kutoka ofisini kwake kwenda TBL atakuwa anatembea kwa miguu tu.

Afu mnatakiwa kufahamu kwamba ukuu wa mkoa sio cheo serious kiviiiiile. Hata ukimteua teja kuwa RC atamudu bila tatizo.
Sasa mbona Makala Dar imemshinda!!??
 
Makala ana upeo? Biambie Mkuu wa mkoa ana Excutive power? Ana bajeti? Muwacha ujinga
 
Sasa mbona Makala Dar imemshinda!!??
Makalla sio mlevi; alishindwa kutumia vizuri fursa za viwanda vya pombe vilivyotapakaa Dar. Ameona amlete mlevi halisi anayetambua umuhimu wa kutumia fursa.
 
Wewe kama wewe unawaongoza akina nani, acha makasiriko na minuno.
Yule jamaa ana Character ya Leadership.
 
Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi.

Uwezo wa fikra ni mdogo mno.

Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.

Uzi tayari.
Na huyu hapa ameletwa ili ajifukuzishe kazi mwenyewe.
 
Hapo tukifungua inbox ya kismart tochi chako kimejaa msg kibao ukimuomba dada yako akuombee kwa shemeji yako utumiwe nauli uje dar kushangaa magorofa.

Unatoa kila ahadi kuwa ukija huku utafanya kazi zote za nyumbani as long as na wewe uwepo dar.
Thubutu yako!

Mwanaume anayejiamini hawezi lazwa mapema na panya rodi
 
Agrey Mwanri, nakumbuka " ukishika mwizi ponda kichwa mpaka kilie "ding " usimuachie.
 
Wa wapi wewe ili tujue unaongozwa na mwenye akili kiasi gani. Taja eneo tuone kama kweli ndani ya kijani kuna waliosalia!
Niko kanda ya miamba ambako watu mashujaa kuzaliwa
 
Back
Top Bottom