Kuna mtu kamuomba mama ,Chalamila awe mkuu wa mkoa wa Dsm.Ipo siku huyo mtu akifa Chalamila atasema.Lakin sio kuwa Chalamila anaweza kuwa kiongoz mzuri mpaka kupewa Dar.Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kaz...
Wa wapi wewe ili tujue unaongozwa na mwenye akili kiasi gani. Taja eneo tuone kama kweli ndani ya kijani kuna waliosalia!Wanaume wa Dar mlivyo wajinga na wapumbavu, nani ashindwe kuwaongoza?
Kwa hiyo tuajiri tena wastaafu,Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
We are exceptional. Mkiamka asubuhi la kwanza mnataka kujua wa dar wana habari gani kabla hata ya kutaka kujua ya kwenu.Dar kuna wakati kama mnajiona exceptional vile?
Ndo ameshastaafu sasa, no way wengine pia wafanye!Kulinganisha na Chalamila, Mwanri ana uafadhali mkubwa mno.
Hapo tukifungua inbox ya kismart tochi chako kimejaa msg kibao ukimuomba dada yako akuombee kwa shemeji yako utumiwe nauli uje dar kushangaa magorofa.Wanaume wa Dar mlivyo wajinga na wapumbavu, nani ashindwe kuwaongoza?
Wanaume waoga waoga mnalazimishwa kulala mapema na panya rodi sembuse kuongozwa na yeyote?