Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

We jamaa unachuki binafsi na dar, yan hata ufanyaje hizo sehemu ulizotaja huwez kufananisha na dar hata kidogo, na wala hapawez kubadilika sababu tu umesema acha ujinga na acha upumbavu, we hujiuliz kwanini ma giant wote wa hii nchi wapo dar? Alafu hivyo vibandar vingine vyote ulivyotaja na sijui sirali sijui mombasa bado ni vidogo kwa bandari ya dar es salaam, TANZANUA MIPANGO YOTE INAANZIA DAR, hata hilo jina la kanda maalumu kwenye hii nchi lilitungiwa dar, kila unachokiona mikoan kubwa yake iko dar, sikupanga mimi mkuu ni nature ndio ilipanga, hata nani awe raisi wa hii nchi mipango inasukiwa dar, hizo chuki hazikusaidii kitu mzee huu ndio ukweli mchungu, kwenye hii nchii huwez kukwepa dar hata uwe tajiri kama Mo..
 
unajitekenya na kucheka mwenyewe.

unaongelea viazi na mchele, ukute humiliki hata bustani ya mboga. Umeshiba viazi vitamu vya kuchemsha msaada wa wazazi unauja kushupaza fuvu hapa.
Dogo mkoan ndo tunawalisha wamama wa mjini nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…