Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Sheria kama zinaleta society disorganization zinaendelea kufuatwa?Mkuu kwani hujui sheria zinatungwa wapi?
Hawa wakuu wa mikoa kazi Yao ni kutekeleza na kusimamia sheria zilizotungwa (kuanzia bungeni)
Anyway tutafurahia watu tule Bata vizuri lkn haya mambo ya kuchekea viongozi wanapovunja/ kujaribu kunja shria/ kutofuata sheria, tunajiandalia bomu la nyukiria la kutuangamiza sisi wenyewe.
Sheria nyingi za mazingira zilizopo ni copy paste ya za ulaya, Sasa sisi na ulaya wap na wap.
Upo Sawa kabisa kwamba sheria zifuatwe, lakini swali ambalo halijibiwi hawa watu walitunga vip sheria zisizotekelezeka?