Chalamila: Huwezi kukwepa kelele Dar es Salaam

Sheria kama zinaleta society disorganization zinaendelea kufuatwa?

Sheria nyingi za mazingira zilizopo ni copy paste ya za ulaya, Sasa sisi na ulaya wap na wap.
Upo Sawa kabisa kwamba sheria zifuatwe, lakini swali ambalo halijibiwi hawa watu walitunga vip sheria zisizotekelezeka?
 
Hii ndio Kauli aliyoitoa leo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dr. Chalamila kwa watu wote, kwamba Kunywa bia kimya kimya ni sawa na kunywa Juice.

Aliyeelewa atusaidie kufafanua ili tuanze kuchangia.
Bia huleta vibe, bakurutu / zilipendwa mixer na ringala ndo vionjo muhimu ulambapo beer, bia pasipo vibe ni sawa na kuchangia harusi ya kisabato unaambulia mango tropical
 
Hio kauli na utekelezaji ni kingine, ipogo hivo yaani. Hio ni strategic spinning mshasahau and no body recalls what transpired before. Tanzania ya ngedere
 
Pesa nyingi zitapatikana kwenye kodi za bia kuliko kwenye faini za NEMC, pia anaepusha migogoro mkoanj kwake
 
Nyie walokole kama hampendi bia waacheni wanaozinywa wazinywe, kama ni kelele mbona mjini kila kitu kinapiga kelele, hata watoto wenu nyumbani wakilia nao wanapiga kelele pia.
 
NEMC wanapambana kuzuia unnecessary Makelele yeye ndo kwanza anahamasisha. Mgema akisifiwa Tembo hulitia Maji.
Wazuie makelele ya magari na mabodaboda, kuna magari yanatoa moshi na yanapiga makelele na honi ovyo, hayo ndio hasa yanasumbua ila mziki sio kelele, huko ni kuwaonea wivu wanywaji.
 
Nilichogundua ni kutopima maeneo! Ukipima maeneo utatenga makazi ,biashara ,huduma za jamii etc! Tatizo hospital inajengwa karibu na Bar unategemea nini? Church/Msikiti karibu na bar au kwenye makazi ya watu.
 
Kweli kabisa mkuu hata mimi nimeshangaa. Maana NEMC wanachofanya ni kqa mujibu wa sheria zilizopitishwa na bunge lakini kumbe mkuu wa mkoa anaweza zuia. Sasa kuna haja gani ya kuwa na taasisi ambazo hazina meno si kuchoma kodi za watanzania tu.
 
Kasema leo, Dar ni jiji la biashara, wasiopenda kelele waende Dodoma, watu watafute pesa, wale bia, mziki mnene. Maana wanachangia maendeleo ya jiji.
Huyu jamaa nadhani azimtoshi tu hili nitatizo la wanasiasa kupinga wataalamu na kupinga sheria za nchi kwa kigezo cha maendeleo wanao ishi dar sio watu?
 
Hii ndio Kauli aliyoitoa leo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dr. Chalamila kwa watu wote, kwamba Kunywa bia kimya kimya ni sawa na kunywa Juice.

Aliyeelewa atusaidie kufafanua ili tuanze kuchangia.
Alipo pelekwa kagera akakuta hakuna sitendi wala soko akaangusha lawama kwa wasomi wa mkoa kagera Chalamila akili hazimtoshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…