RC uwe makini wanaolalamika wakiona unajibu jeuri watajichukulia sheria mkononi..Sijui kuna shida gani kufuata sheria za nchi..Unamwambiaje mtu ahame kwenye nchi yake???NEMC wanapambana kuzuia unnecessary Makelele yeye ndo kwanza anahamasisha. Mgema akisifiwa Tembo hulitia Maji.
hivi wewe unaona sawa kupigiwa makelele usiku kucha halafu useme sheria haitekelezeki?Sheria nyingi za mazingira zilizopo ni copy paste ya za ulaya, Sasa sisi na ulaya wap na wap.
Upo Sawa kabisa kwamba sheria zifuatwe, lakini swali ambalo halijibiwi hawa watu walitunga vip sheria zisizotekelezeka?
Kuna watu wanashangilia kauri za namna hiyoKweli kabisa mkuu hata mimi nimeshangaa. Maana NEMC wanachofanya ni kqa mujibu wa sheria zilizopitishwa na bunge lakini kumbe mkuu wa mkoa anaweza zuia. Sasa kuna haja gani ya kuwa na taasisi ambazo hazina meno si kuchoma kodi za watanzania tu.
Tz watu huwa hawajali sheria wala kauli za viongozi hata kama zinavunja sheria as long as zinawafurahisha kwa wakati huo. Ila wanasahau uvunjaji wa sheria 1 hupelekea kuvunja nyingineKuna watu wanashangilia kauri za namna hiyo
we huna mbunge? Ulitaka wananchi wote tuende bungeni kutunga sheria? Sheria ikipita tumeshirikishwa maana yupo mwakilishi wako kule anategemewa kutoa ushauri na mawazo yake kwa niaba yakoJe, wanapotunga sheria wanatushirikisha?au wanatunga kutukandamiza m naamini hakuna sheria imewekwa kumnufaisha mwananchi bali kutukandamiza kwasababu hakuna maoni ya wananchi bali ni maoni yao na kwa maslahi yao
Hivi bia inaliwa au inaywewaKasema leo, Dar ni jiji la biashara, wasiopenda kelele waende Dodoma, watu watafute pesa, wale bia, mziki mnene. Maana wanachangia maendeleo ya jiji.
Mimi namshangaa mteuzi sijui katumia kigezo gani hadi kumteua huyu jamaa kuwa RC Dsm,huyu na Makonda hawana tofauti wao wapo kimaslahi zaidi huku wakitumia vitisho kulazimisha watu wafuate wanachokitaka.RC uwe makini wanaolalamika wakiona unajibu jeuri watajichukulia sheria mkononi..Sijui kuna shida gani kufuata sheria za nchi..Unamwambiaje mtu ahame kwenye nchi yake???
Watu wa dar Wanywe ila tu,wakazi wa dar tumechoshwa na kelele na tumempata mkombozi NEMCππSasa watu wa Dar nimepata RC,Nemc mkopo?