Chalamila: Kama Serikali inatuma vikosi kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?

Sijawahi muelewa huyu jamaa

Uongozi sio kumfurahisha Boss wako ili akuone ni muwajibikaji, uongozi ni kuwafurahisha unao waongoza.
Yaani hapo unafikiri anamfurahisha basi. Yaani hapo anauhamasisha kiujanja sana ili mamlaka zione anaupinga we mwangalie na kumsikiliza vizuri anayoyaongea hayatoki moyoni kabisa. Yaani anachochea kiintelijensia ili boss amuone kama anaupinga.
 
Mana yetu mpendwa kama unataka ulale usingizi kwa amani na bila kupata kelele za kkooo tengua huyo jamaaa mlete makonda uone kazi kazi wafanyabiashara wataanza wenyewe kumpigia makofi hata hajaongea lolote maana wanajua hata kama hawatasililizwa yote kuna maneno ya faraja na hekima watapata sasa hii nduruteeeee
 
Makonda anaumwa ameshatupiwa kidude anahangaika nacho
 
Huyu mwamba angekuwa ni Rais,mungenyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…