Chalamila: Kama Serikali inatuma vikosi kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?

Ni kweli serikali haishindwi jambo. Ndiyo maana barabara zote Tanzania nzima (na hasa za Tanganyika) ni lami tupu? Ndiyo maana shule zote za Tanzania zimejaa madawati na mengine wanakosa mahali pa kuyaweka? Au niliangalia vibaya nilipokuja likizo?
 
daah tunasafari ndefu sana
 
Eti waendelee kugoma wao itawachukua mwezi kukubaliana, kwa maana nyingine nyie jifiche njaa itawatoa shimoni.
 
Wewe nawe unataka aondoe mjinga amlete mpumbavu! Wabongo ni warahisi sana kufanyiwa usanii kwenye uongozi.
 
Nilikuwa naliuliza kwa nini kabla Chalamila kuja Dar es Salaam.Jiji lilikuwa safi,baishara za barabarani zilipotea,chakula kilipikwa kwa staha na afya lakini Leo kila Kona Kuna jiko,biashara zimeanza kuwekwa kwenye njia za waenda kwa miguu,vibanda vinainuka.Kuna siku kiongozi wa wafanyabiashara alimwambia kero ya kuingiliana kwa zi biashara zisizo rasmi maeneo ya biashara rasmi jamaa akajibu Raha ya kariakooo ni msongomano.Yaani Kariakoo ambayo Barabara zote za lami zimegeuka maduka na majiko Bado kiongozi anaona sawa.Tunasubiri muda wa AFCON tuanze kutumia migambo badala kupanga Leo.
 
Kaliakoo ndo Tanzania,na ukuu wa mkoa wa hapo Dar es salaam ndo ajiandae kuachia sababu hata kabla ya makonda aliondoka sababu ya mgomo wa wafanyabiashara wa kaliakoo,Kaliakoo ndo uti wa mgongo wa Kodi Tanzania hakuna zaidi mkuu jiandae kwenda Tanganyika huko.
 
Tumpe na uraisi wa nchi atuboost vichwa kdg
 
Hajamaanisha hivyo amemaanisha kuweka ulinzi wasiibiwe huku majadiliano yakiendelea.

..ametishia watu Jwtz ambao wako Congo.

..Na Jwtz walioko Congo hawalindi maduka, wanapigana vita.

..tatizo la Ccm ni kutokuheshimu wananchi kwasababu hawategemei kura zao kuingia madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…