Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi

Ngoja wampe mama mda wa kupanga safu.
 
Kwa sasa wananchi wanafuata anaetoa point wanamuunga mkono

Alianza gwaji akajaza wafuasi, akaja polepole akatoa point za maana akafuatwa na wafuasi kedekede, akaja slaa kutetea wabunge walipe kodi tukasema hewalaa tukajaa kwake ba kumsupport
Finaly akaja Spika kuponda mikopo hapo tukamuona mwananchi halisi

Sasa:-

Slaa akakana alichosema tukampuuza,
Speaker akakana alichosema tukampuuuza.


Tumebaki na

1. Gwaji
2. Pole pole
3. Na sasa The Don Chalamila
4.
5.
6.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
 
Robo 3 ya nchi zote duniani hutumia huo mfumo ila kupunguza gharama za uchaguzi kwa wananchi wake. Hana hoja ya msingi, ni chuki tu maana yuko benchi sasa.

Inakua ni kipindi cha mpito tu
 
bhangi mbaya sana....kuna watu unajiuliza waliwezaje hata kuwa na nyadhifa serikali....
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Hahahahaaa! Yahani yeye ameona umuhimu wa katiba upo hapo kwenye umakamo wa urais tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…