Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Najua mtakuja na motoo kuwashukia askari kuhusu utekaji na mazonge yao mengine, hayo tuyaweke pembeni, hayahusiki kwenye muktadha huu. Hata kama kati yao wapo washenzi (ashakum) naamini wengi tunaweza kutestify kuwa wapo waliobora waliotuhudumia na kutusave pakubwa tulipopata majanga. Twende kwenye mada
Kama tunavyopiga kelele wwngine wanavyonyanyaswa na matumizi mabaya ya madaraka kwenye muasuala mengine tupige kelele pia na hapa.
Ninavyofahamu walinzi hawa pia wanapumzika, siyo mashine kusema kuwa hawachoki na wanafanya kazi saa 24.
Chalamila kumtumia askari wake (na kama viongozi waliokuwwpo kwenye ibada hiyo walifanya hivyo) kwenye shughuli zake binafsi za kwenda kupikwa kwaajili ya 2025 (mkija na mapovu comments ziwe fupifupi
) ni matumizi mabaya ya madaraka na unyanyasaji kwa mtumishi huyo, unaotakiwa kukemewa kwa nguvu zote.
Na ubaya ni kwamba askari hawezi kugoma, atafanya kazi mambo yaishe.
Nashangaa hata kwa nini bado huyu jamaa yupo ofisini na makandokando yote amefanya, katika watu wana maadili 0 kwenye utumishi ni huyu. Kwa hili hapana, anastahili kuwajibika.
Naomba tubalance shobo, na tuwe objective kwenye hili.
Najua mtakuja na motoo kuwashukia askari kuhusu utekaji na mazonge yao mengine, hayo tuyaweke pembeni, hayahusiki kwenye muktadha huu. Hata kama kati yao wapo washenzi (ashakum) naamini wengi tunaweza kutestify kuwa wapo waliobora waliotuhudumia na kutusave pakubwa tulipopata majanga. Twende kwenye mada
Kama tunavyopiga kelele wwngine wanavyonyanyaswa na matumizi mabaya ya madaraka kwenye muasuala mengine tupige kelele pia na hapa.
Ninavyofahamu walinzi hawa pia wanapumzika, siyo mashine kusema kuwa hawachoki na wanafanya kazi saa 24.
Chalamila kumtumia askari wake (na kama viongozi waliokuwwpo kwenye ibada hiyo walifanya hivyo) kwenye shughuli zake binafsi za kwenda kupikwa kwaajili ya 2025 (mkija na mapovu comments ziwe fupifupi

) ni matumizi mabaya ya madaraka na unyanyasaji kwa mtumishi huyo, unaotakiwa kukemewa kwa nguvu zote.Na ubaya ni kwamba askari hawezi kugoma, atafanya kazi mambo yaishe.