Chalamila kutumia askari (mlinzi wake) kwa suala binafsi la Mkesha wa Mwamposa baada ya muda wa kazi ni unyanyasaji kwa askari huyo, akemewe!

Wakuu,

Najua mtakuja na motoo kuwashukia askari kuhusu utekaji na mazonge yao mengine, hayo tuyaweke pembeni, hayahusiki kwenye muktadha huu. Hata kama kati yao wapo washenzi (ashakum) naamini wengi tunaweza kutestify kuwa wapo waliobora waliotuhudumia na kutusave pakubwa tulipopata majanga. Twende kwenye mada

Kama tunavyopiga kelele wwngine wanavyonyanyaswa na matumizi mabaya ya madaraka kwenye muasuala mengine tupige kelele pia na hapa.

Ninavyofahamu walinzi hawa pia wanapumzika, siyo mashine kusema kuwa hawachoki na wanafanya kazi saa 24.

Chalamila kumtumia askari wake (na kama viongozi waliokuwwpo kwenye ibada hiyo walifanya hivyo) kwenye shughuli zake binafsi za kwenda kupikwa kwaajili ya 2025 (mkija na mapovu comments ziwe fupifupi:BearLaugh::BearLaugh:) ni matumizi mabaya ya madaraka na unyanyasaji kwa mtumishi huyo, unaotakiwa kukemewa kwa nguvu zote.

View attachment 3176486

Na ubaya ni kwamba askari hawezi kugoma, atafanya kazi mambo yaishe.

Nashangaa hata kwa nini bado huyu jamaa yupo ofisini na makandokando yote amefanya, katika watu wana maadili 0 kwenye utumishi ni huyu. Kwa hili hapana, anastahili kuwajibika.

Naomba tubalance shobo, na tuwe objective kwenye hili.
Badili jina ujiite UGLY WIFE kwa sababu umeandika pumba. Polisi wako kwa ajili ya usalama wa raia na mali zao ndo maana hata mabenki binafsi huwa wanalinda. Pia siku ukiwa unahitaji ulinzi kwa jambo lako fika kituo cha polisi wakupe utaratibu. Mwamposa ni TAPELI ila kuhusu polisi kuwepo pale umepuyanga sana.
 
Wakuu,

Najua mtakuja na motoo kuwashukia askari kuhusu utekaji na mazonge yao mengine, hayo tuyaweke pembeni, hayahusiki kwenye muktadha huu. Hata kama kati yao wapo washenzi (ashakum) naamini wengi tunaweza kutestify kuwa wapo waliobora waliotuhudumia na kutusave pakubwa tulipopata majanga. Twende kwenye mada

Kama tunavyopiga kelele wwngine wanavyonyanyaswa na matumizi mabaya ya madaraka kwenye muasuala mengine tupige kelele pia na hapa.

Ninavyofahamu walinzi hawa pia wanapumzika, siyo mashine kusema kuwa hawachoki na wanafanya kazi saa 24.

Chalamila kumtumia askari wake (na kama viongozi waliokuwwpo kwenye ibada hiyo walifanya hivyo) kwenye shughuli zake binafsi za kwenda kupikwa kwaajili ya 2025 (mkija na mapovu comments ziwe fupifupi:BearLaugh::BearLaugh:) ni matumizi mabaya ya madaraka na unyanyasaji kwa mtumishi huyo, unaotakiwa kukemewa kwa nguvu zote.

View attachment 3176486

Na ubaya ni kwamba askari hawezi kugoma, atafanya kazi mambo yaishe.

Nashangaa hata kwa nini bado huyu jamaa yupo ofisini na makandokando yote amefanya, katika watu wana maadili 0 kwenye utumishi ni huyu. Kwa hili hapana, anastahili kuwajibika.

Naomba tubalance shobo, na tuwe objective kwenye hili.
Wewe unamuhurumia askari wakati yeye anaona raha kuuza sura hapo.Na si ajabu na fedha kama posho alimpa.
NB;Askari ni kugangamala.Usingizi aliuacha CCP-Moshi.
 
Askari anafanya kazi masaa 24 kwahiyo ni jukumu lake hayo ni mambo Binafsi kwa Chalamila ila ni jukumu la msingi la askari
 
Hajaenda pale kama mkuu wa Mkoa, kaenda kwa maombi kama wale wanawake waliojazana pale kuombewa... nadhani kwa hiyo video amesema vyema
So unamtofautishaje Chalamila na RC Chalamila? Huyu huyu anaonekanaga kavaa kanzu mbele ya ma ustaadhi, jana kaonekana huko kwa Mwamposa then unamtofautishaje? Kumbuka nae ana dini yake, Mkristo kwenda kwenye mkutano wa Kiislamu ni kashfa, same as muislam kwenda kwenye ibada za Kikristo ni hivo hivo, unadhani muumini wa kawaida asie na cheo anaweza kufanya tu hivo? Why aliitwa kwenda kusema chochote kama sio cheo chake?
 
😅😅😅🤣 una mafunzo? Wale hawajagi na bastola, wale wanakuja na SMG or AKA 47, utapambana nao wewe ukiwa na bastola? Halafu wale hawajagi usiku, mapema tu wanakuja wanapiga show then wanatembea
Majambazi hawakufuati kwa sababu tu una tusenti, kwenye matukio mengi ni issue za kisasi, dhuluma, na mapenzi
 
Wakuu,

Najua mtakuja na motoo kuwashukia askari kuhusu utekaji na mazonge yao mengine, hayo tuyaweke pembeni, hayahusiki kwenye muktadha huu. Hata kama kati yao wapo washenzi (ashakum) naamini wengi tunaweza kutestify kuwa wapo waliobora waliotuhudumia na kutusave pakubwa tulipopata majanga. Twende kwenye mada

Kama tunavyopiga kelele wwngine wanavyonyanyaswa na matumizi mabaya ya madaraka kwenye muasuala mengine tupige kelele pia na hapa.

Ninavyofahamu walinzi hawa pia wanapumzika, siyo mashine kusema kuwa hawachoki na wanafanya kazi saa 24.

Chalamila kumtumia askari wake (na kama viongozi waliokuwwpo kwenye ibada hiyo walifanya hivyo) kwenye shughuli zake binafsi za kwenda kupikwa kwaajili ya 2025 (mkija na mapovu comments ziwe fupifupi:BearLaugh::BearLaugh:) ni matumizi mabaya ya madaraka na unyanyasaji kwa mtumishi huyo, unaotakiwa kukemewa kwa nguvu zote.

View attachment 3176486

Na ubaya ni kwamba askari hawezi kugoma, atafanya kazi mambo yaishe.

Nashangaa hata kwa nini bado huyu jamaa yupo ofisini na makandokando yote amefanya, katika watu wana maadili 0 kwenye utumishi ni huyu. Kwa hili hapana, anastahili kuwajibika.

Naomba tubalance shobo, na tuwe objective kwenye hili.
Usizungumzie jambo ambalo hulijui.
Unajua mfumo wa utumishi ulivyo, hujawahi fanya kazi serikalini hivyo inawezekana hujui miundo ya utumishi ilivyo.

Mtumishi wa umma kufanya kazi saa za ziada baada yac muda wa kawaida wa kazi ipo katika kanuni za utumishi, na huwa analipwq huo muda wa ziada aliofanya hivyo sio kosa.

Pili kwa baadhi ya nafasi za utumishi zinataka wapewe ulinzi saa 24, wawe na usafiri muda wotenwanaouhitaji bila kujali saa au siku hivyo kwa RC kutumia ulinzi saa 24 sio kosa kiutumishi.

Mambo ya urumishi yamewekewa kanuni na ndizo zinazofuatwa
 
So unamtofautishaje Chalamila na RC Chalamila? Huyu huyu anaonekanaga kavaa kanzu mbele ya ma ustaadhi, jana kaonekana huko kwa Mwamposa then unamtofautishaje? Kumbuka nae ana dini yake, Mkristo kwenda kwenye mkutano wa Kiislamu ni kashfa, same as muislam kwenda kwenye ibada za Kikristo ni hivo hivo, unadhani muumini wa kawaida asie na cheo anaweza kufanya tu hivo? Why aliitwa kwenda kusema chochote kama sio cheo chake?
Dini yake haituhusu, muhimu sheria ifatwe, akiwa kwenye mambo yake askari yupo entitled kuwa relieved of duties mpaka wakati mwingine muda wake unapoanza
 
Usizungumzie jambo ambalo hulijui.
Unajua mfumo wa utumishi ulivyo, hujawahi fanya kazi serikalini hivyo inawezekana hujui miundo ya utumishi ilivyo.

Mtumishi wa umma kufanya kazi saa za ziada baada yac muda wa kawaida wa kazi ipo katika kanuni za utumishi, na huwa analipwq huo muda wa ziada aliofanya hivyo sio kosa.

Pili kwa baadhi ya nafasi za utumishi zinataka wapewe ulinzi saa 24, wawe na usafiri muda wotenwanaouhitaji bila kujali saa au siku hivyo kwa RC kutumia ulinzi saa 24 sio kosa kiutumishi.

Mambo ya urumishi yamewekewa kanuni na ndizo zinazofuatwa
Aaaah bana weee, akae na walinzi wake binafsi, shift ikiisha mtu awe relived na duties
 
Back
Top Bottom