Chalamila kutumia askari (mlinzi wake) kwa suala binafsi la Mkesha wa Mwamposa baada ya muda wa kazi ni unyanyasaji kwa askari huyo, akemewe!

....aaahhh yote sawa tu mara moja sio mbaya ......anakula shushu tuuu....acha wafu wazikane
 
Mkuu wa mkoa hana mlinzi mmoja isitoshe popote alipo Chalamila ndpo alipo mkuu wa mkoa wa Dar.

Mkuu wa mkoa ana mlinzi mpaka wa nyumbani kwake.
 
Aaaah bana weee, akae na walinzi wake binafsi, shift ikiisha mtu awe relived na duties
Muulize mfanyakazi yeyote wa serikali huwa anaombea fursa ya kufanya overtime itokee. Usawa huu hali ngumu.
 
Huyu mzee si ni muislam huyu, msikitini yuko kama muumini bila kofia ya ukuu wa mkoa, kanisani yupo kama muumini pia bila kofia ya ukuu wa mkoa πŸ˜‚πŸ˜‚.

Ukiskia wanasiasa waongo waongo basi ni huyu na PM.
 
Mkuu eti hao ndiyo GT wa Jf siku hizi..
Hata aibu hana. Kazi ya polisi ni 24 hrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…