Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Viongozi wa Tanzania , hasa waliotokea familia duni wakipata madaraka wako tayari kufanya loloteKama sina nikaibe??? Nyumbani tunashindia mihogo, nayo ya kuomba kwa watu ko mimi nifanyaje? Mbeya hakuna kiongozi kuna mropokaji na mpenda sifa kwa mkuuπ
Sawa tu, si ndio matunda ya chama kimoja hayo?!!ni mwendo kama urusi tu!!kwani walipokuwa wanaambiwa ma vyama haya ndio yanatukwamisha walikuwa wanashangilia!!!na wanataka shule zote za serikali mkoa wa mbeya ziwe za bweni!!mimi naona sasa ni kama kuna utawala wa majimbo tu, kila mkuu anakuja na sheria/maagizo yanayohusu eneo lake tu!!ni Tz, pekee ambapo by laws, inakuwa na nguvu kushinda katiba!!!Mh Chalamila ametoa kauli hiyo ili kuwalazimisha wazazi kupeleka chakula baada ya kubaini kuwa wameshindwa kutimiza wajibu huo kwa njia ya amani licha ya kupatiwa maelezo na kuelimishwa faida ya utaratibu huo .
Mtukufu Chalamila ametoa kauli hiyo ya maendeleo katika shule ya sekondari ya Iyela Jijini Mbeya katika ziara ya kimkakati ili kuinua kiwango cha ufaulu .
ππππSawa tu, si ndio matunda ya chama kimoja hayo?!!ni mwendo kama urusi tu!!kwani walipokuwa wanaambiwa ma vyama haya ndio yanatukwamisha walikuwa wanashangilia!!!na wanataka shule zote za serikali mkoa wa mbeya ziwe za bweni!!mimi naona sasa ni kama kuna utawala wa majimbo tu, kila mkuu anakuja na sheria/maagizo yanayohusu eneo lake tu!!ni Tz, pekee ambapo by laws, inakuwa na nguvu kushinda katiba!!!
Huyu hana siku nyingi hapo. Now this is too much.Mh Chalamila ametoa kauli hiyo ili kuwalazimisha wazazi kupeleka chakula baada ya kubaini kuwa wameshindwa kutimiza wajibu huo kwa njia ya amani licha ya kupatiwa maelezo na kuelimishwa faida ya utaratibu huo .
Mtukufu Chalamila ametoa kauli hiyo ya maendeleo katika shule ya sekondari ya Iyela Jijini Mbeya katika ziara ya kimkakati ili kuinua kiwango cha ufaulu .
Piga kazi kama hauna ukilema wowote mkuu. Usikubali kushindia mihogo.Kama sina nikaibe??? Nyumbani tunashindia mihogo, nayo ya kuomba kwa watu ko mimi nifanyaje? Mbeya hakuna kiongozi kuna mropokaji na mpenda sifa kwa mkuuπ
Sawa mkuu, hapa nili-assume ili niendane sawa na madai ya huyo kiongozi uchwaraPiga kazi kama hauna ukilema wowote mkuu. Usikubali kushindia mihogo.
Mbeya INA ardhi ambayo ni potential iitumie vizuri. Kataa iyo hali. Afu kumbuka wanafunzi huwa wanakabiliwa sana na njaa mkuu tokea naseri mpaka chuo kikuu. Ivyo jitahidi wapate lishe nzuri ili wasome huku matumbo hayawaumi kwa njaa
Nashukuru anaweza akawa amekukwaruza sehemu ndo mana labda unaongea ivyo pia. Ila samahani kama namie nimekupinga hisia zako.Sawa mkuu, hapa nili-assume ili niendane sawa na madai ya huyo kiongozi uchwara
πππEti mtukufu chalamila !!! Nkmeishia apo tu dah hakiyanan yaan kwel MUNGU anakaz ngumu
N kweli wanapata njaa, lkn vipato tunatofautiana mkuu, njia pekee ya kuendana na level zote za maendeleo yetu ni kumzuia ambaye hajachanga kupewa chakula (inawezekana kutafsiriwa kama ubaguzi but si kweli) mkuu pia kuna ambao wao chakula chao n cha uchaguz sana mf, mtoto hatumii maharage na actually chakula cha shule tunakijua n maharage, sidhan kama wamewambia wapeleke na hela kwa ajir ya nyama nk, sasa huyo mtu utamlazisha atoe mahindi wakat anajua hatayatumia??? Tin twice, pia kuna wazaz ambao wazaz wao wanakipato kikubwa hivo swala la kula kwa watot wao n kawaida, mfn mzaz per day anampatia mtot wake 2000tsh kwa ajir ya chakula akiwa shule, je huyu nae utamlazimisha alipie mchango wa chakula????Nashukuru anaweza akawa amekukwaruza sehemu ndo mana labda unaongea ivyo pia. Ila samahani kama namie nimekupinga hisia zako.
Ila mkuu suala LA chakula shuleni wanafunzi wanapata njaa sana.