Chalamila kutumia vyombo vya dola ili kulazimisha wazazi kuchangia chakula shuleni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mh Chalamila ametoa kauli hiyo ili kuwalazimisha wazazi kupeleka chakula baada ya kubaini kuwa wameshindwa kutimiza wajibu huo kwa njia ya amani licha ya kupatiwa maelezo na kuelimishwa faida ya utaratibu huo .

Mtukufu Chalamila ametoa kauli hiyo ya maendeleo katika shule ya sekondari ya Iyela Jijini Mbeya katika ziara ya kimkakati ili kuinua kiwango cha ufaulu .
 
Kama sina nikaibe??? Nyumbani tunashindia mihogo, nayo ya kuomba kwa watu ko mimi nifanyaje? Mbeya hakuna kiongozi kuna mropokaji na mpenda sifa kwa mkuu😉
 
Sawa tu, si ndio matunda ya chama kimoja hayo?!!ni mwendo kama urusi tu!!kwani walipokuwa wanaambiwa ma vyama haya ndio yanatukwamisha walikuwa wanashangilia!!!na wanataka shule zote za serikali mkoa wa mbeya ziwe za bweni!!mimi naona sasa ni kama kuna utawala wa majimbo tu, kila mkuu anakuja na sheria/maagizo yanayohusu eneo lake tu!!ni Tz, pekee ambapo by laws, inakuwa na nguvu kushinda katiba!!!
 
😆😆😆😆
 
Mh Chalamila ametoa kauli hiyo ili kuwalazimisha wazazi kupeleka chakula baada ya kubaini kuwa wameshindwa kutimiza wajibu huo kwa njia ya amani licha ya kupatiwa maelezo na kuelimishwa faida ya utaratibu huo .

Mtukufu Chalamila ametoa kauli hiyo ya maendeleo katika shule ya sekondari ya Iyela Jijini Mbeya katika ziara ya kimkakati ili kuinua kiwango cha ufaulu .
Huyu hana siku nyingi hapo. Now this is too much.
Suala la mchango ni suala la hiari.
Kama familia haina uwezo hakuna sheria inayosema ni wahalifu. Hakuna?
 
Kama sina nikaibe??? Nyumbani tunashindia mihogo, nayo ya kuomba kwa watu ko mimi nifanyaje? Mbeya hakuna kiongozi kuna mropokaji na mpenda sifa kwa mkuu😉
Piga kazi kama hauna ukilema wowote mkuu. Usikubali kushindia mihogo.
Mbeya INA ardhi ambayo ni potential iitumie vizuri. Kataa iyo hali. Afu kumbuka wanafunzi huwa wanakabiliwa sana na njaa mkuu tokea naseri mpaka chuo kikuu. Ivyo jitahidi wapate lishe nzuri ili wasome huku matumbo hayawaumi kwa njaa
 
Sawa mkuu, hapa nili-assume ili niendane sawa na madai ya huyo kiongozi uchwara
 
Tutafika....... Hii ni aina ya maisha tuliyochagua wenyewe....
 
Sawa mkuu, hapa nili-assume ili niendane sawa na madai ya huyo kiongozi uchwara
Nashukuru anaweza akawa amekukwaruza sehemu ndo mana labda unaongea ivyo pia. Ila samahani kama namie nimekupinga hisia zako.
Ila mkuu suala LA chakula shuleni wanafunzi wanapata njaa sana.
 
Simkubali hata kidogo lakini hapo nutamuunga mkono kwa sababu zifuatazo.
1.Watoto wengi wanapoteza muda kwenda nyumbani kufuata Chakula cha mchana. Wengi wakifika nyumbani hawakuti Chakula cho chote hivyo hubaki Na njaa zao.
2. Baadhi ya watoto hupatwa Na majaribu ya mimba za utotoni kwa sababu wana muda ambao sio Mzazi wala mwalimu ajuae Mwanafunzi yupo wapi kwa wakati Wa kurudi nyumbani kufuata Chakula.
3. Ongezeko la utapia mlo na magojwa mengine ya tumbo kwa watoto. Mzazi ni mkulima, halafu mwanao anashinda njaa kila siku ni aibu. Toa mahindi, maharagwe Na Mchele mwanao achemshiwe atulize njaa asome. Fimbo ya masikini ni juhudi zake. Hivyo ndivyo Kilimanjaro ilivyoendelea kwenye elimu. Sio mchango Wa kanisa tu Na wazazi walijitoa ili rule shuleni. Nimekula Shule toka nasari form four Na nimesoma day.
 
Mkuu
Nashukuru anaweza akawa amekukwaruza sehemu ndo mana labda unaongea ivyo pia. Ila samahani kama namie nimekupinga hisia zako.
Ila mkuu suala LA chakula shuleni wanafunzi wanapata njaa sana.
N kweli wanapata njaa, lkn vipato tunatofautiana mkuu, njia pekee ya kuendana na level zote za maendeleo yetu ni kumzuia ambaye hajachanga kupewa chakula (inawezekana kutafsiriwa kama ubaguzi but si kweli) mkuu pia kuna ambao wao chakula chao n cha uchaguz sana mf, mtoto hatumii maharage na actually chakula cha shule tunakijua n maharage, sidhan kama wamewambia wapeleke na hela kwa ajir ya nyama nk, sasa huyo mtu utamlazisha atoe mahindi wakat anajua hatayatumia??? Tin twice, pia kuna wazaz ambao wazaz wao wanakipato kikubwa hivo swala la kula kwa watot wao n kawaida, mfn mzaz per day anampatia mtot wake 2000tsh kwa ajir ya chakula akiwa shule, je huyu nae utamlazimisha alipie mchango wa chakula????
Chalamila anakurupuka. Akili ndogo kama hizi anashindwa kuzichanganya. Foolish leader 🤥
 
Huku ni kujifanya upo out of touch..., wazazi wenyewe majority mchana wanapiga kavu mlo mmoja kwa siku mbili....

Na kuepuka hizi story za michango isiyohisha huku tunapigwa story za elimu bure bora tu ijulikane moja watu wajipange... Au hii serikali sikivu ipeleke chakula
 
Kwenye history tuliona kule Nigeria machifu wajinga walipewa vyeo wakiamini kuwa wao ndio viongozi kumbe ni indirect rule wanafanyiwa order zote zatoka kwa mzungu
 
Back
Top Bottom