Chalamila muogope Mungu: upandacho ndicho utakachovuna

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Matumizi ya madaraka bila kujali mazingira tunaanza kuyaona.

Kumtia ndani mzee ambaye ni sawa na bibi yako kwa kibri tu ya kiutawala-hiyo ni laana.
Chalamila upandacho ndicho utakachovuna.

Muogope Mungu, maana hii ni kiburi ya madaraka itakayo kiathiri kizazi chako.

UPDATE
Msikilize mwanasheria wa familia ya Mushi..
 
CCM ya samia imeoza kuanzia juu hadi chini. Laana imeanzia utosini hadi unyayoni.
 
Laana ya umma mbaya sana amuulize Salmini amebaki wa kubeba kupeleka chooni.
 
Badala atulie kuongoza mikakati ya kukabiliana na mvua zinazotarajiwa kunyesha, yeye anarukaruka na stand ya mabasi, mara kuweka ndani ukoo mzima watu wasio na hatia.

Ndio maana jiji limejaa uchafu na linanuka.
 
sawa na bibi yako kwa kibri tu ya kiutawala-hiyo ni laana.
Chalamila upandacho ndicho utakachovuna.

Muogope Mungu, maana hii ni kiburi ya madaraka itakayo kiathiri kizazi chako.
 
Yani yule bibi mumewe alikuwa RC wa kwanza wa shinyanga. Sasa chalamila atajiskiaje mke wake akiswekwa ndani akiwa na umri huu....kwakwel
Mtu asiye hekima akipata madaraka anaona dunia iko chini ya miguu yake.Kati ya vitu vyote mfalme Solomoni aliomba apewe hekima kuliko vitu vyote katika utawala wake.
 
miaka 87, kuna watu watasaga meno, Mungu hadhihakiwi.
 
Kwenye Biblia takatifu inasema PRIDE COMES BEFORE A FALL.

Nadhani ni mathayo ama Luka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…