Chalamila muogope Mungu: upandacho ndicho utakachovuna

View attachment 3676653
Matumizi ya madaraka bila kujali mazingira tunaanza kuyaona.

Kumtia ndani mzee ambaye ni sawa na bibi yako kwa kibri tu ya kiutawala-hiyo ni laana.
Chalamila upandacho ndicho utakachovuna.

Muogope Mungu, maana hii ni kiburi ya madaraka itakayo kiathiri kizazi chako.
HAKUNAAA, WAKATI WATU WANAPAMBANIA HAKI ALIKUWA WAPI NA UBIBI WAKE TENA ATULIEE SINDANO IINGIE
 
Endelea kupanda chuki ,majivuno na kiburi cha madaraka na uzima.
Utavuna msimu wake.
Hakuna hilo yani hadi kizazi chako cha nane kinaingia kaburini hakuna tutakachovuna!

Kuna wazee wameteseka wakafa, akaja mwanae akateseka akafa, akaja mjukuu kateseka kafa, kaja kitukuu, kaja kilembwe na sasa yupo mwingine ana 78 naye anataabika na hadi atakufa

CCM mbele kwa mbele si majinga nyie
 
Mpaka hivi Leo, nimekuwa na mashaka ya kuendelea kuhusu chanjo za CVD 19,

Iangalie safu nzima ya CCM inavyofanya, maana hao wote ni wahanga wakuu wa kutumia kwa lazima chanjo hiyo ili kuwaridhisha mabwanyenye yenye mradi huo wa kutilia mashaka

Hivi, ni binadamu Gani ambaye kakosa huruma hata chembe dhidi ya binadamu wenzake?

Wanatekwa, wanapotezwa, wanauwawa, wanaswekwa lupango bila hata hatia, wewe huoni huna hata chembe ya utu? Kama si madhara ya chanjo zile

Ona huyu naye, kibibi ambacho kinasubiria tu siku ya sherehe zake za mwisho wa uwepo wa hii Dunia yenye Kila aina ya madhila, unakasweka ndani??
 
View attachment 3676653
Matumizi ya madaraka bila kujali mazingira tunaanza kuyaona.

Kumtia ndani mzee ambaye ni sawa na bibi yako kwa kibri tu ya kiutawala-hiyo ni laana.
Chalamila upandacho ndicho utakachovuna.

Muogope Mungu, maana hii ni kiburi ya madaraka itakayo kiathiri kizazi chako.
Je hakumbuki iwapo akipanda michongoma atavvuna kuchomwa miiba?
 
Hakuna hilo yani hadi kizazi chako cha nane kinaingia kaburini hakuna tutakachovuna!

Kuna wazee wameteseka wakafa, akaja mwanae akateseka akafa, akaja mjukuu kateseka kafa, kaja kitukuu, kaja kilembwe na sasa yupo mwingine ana 78 naye anataabika na hadi atakufa

CCM mbele kwa mbele si majinga nyie
Endelea kuimba nyimbo zisizo na hitimisho.
Nasi tupo CCM long time ila tuna akili za kuzaliwa, na hekima kuelewa jema na baya.
Sas ninyi wa kununuliwa, pengine hamuoni majeneza yanayotoka hapo Mzena na mapolisi viongozi wanaopotea kuotokana na kutotimiza yale yanayotakiwa kibinadamu.
Hadi ulione jeneza lako linakuja ukiwa kitandani ndipo utaelewa'
Sasa hivi pesa tamu.
 
Badala atulie kuongoza mikakati ya kukabiliana na mvua zinazotarajiwa kunyesha, yeye anarukaruka na stand ya mabasi, mara kuweka ndani ukoo mzima watu wasio na hatia.

Ndio maana jiji limejaa uchafu na linanuka.
Laana kum bibi kweli unamtesa uzeeni
 
Endelea kuimba nyimbo zisizo na hitimisho.
Nasi tupo CCM long time ila tuna akili za kuzaliwa, na hekima kuelewa jema na baya.
Sas ninyi wa kununuliwa, pengine hamuoni majeneza yanayotoka hapo Mzena na mapolisi viongozi wanaopotea kuotokana na kutotimiza yale yanayotakiwa kibinadamu.
Hadi ulione jeneza lako linakuja ukiwa kitandani ndipo utaelewa'
Sasa hivi pesa tamu.
Brother Masopa yani iko hivi hiyo nafuu au hiyo roho nzuri uitakayo haitokaa ije ukiwa hai mpaka kizazi chako cha 600

Ccm hoyee
 
View attachment 3676653
View attachment 3676955
Matumizi ya madaraka bila kujali mazingira tunaanza kuyaona.

Kumtia ndani mzee ambaye ni sawa na bibi yako kwa kibri tu ya kiutawala-hiyo ni laana.
Chalamila upandacho ndicho utakachovuna.

Muogope Mungu, maana hii ni kiburi ya madaraka itakayo kiathiri kizazi chako.

UPDATE
Msikilize mwanasheria wa familia ya Mushi..
We bwege msimtumie huyo bibi kuupotosha umma, vijana wake wako wapi mbn hamuwaoneshi? Huyo bibi alikamatwa mwenyewe? Acheni propagannda za kipumbavu, mnataka kushindana na serikali? Hizo pesa imewalevya? Angalieni mnaweza mkawa maskini ndani ya mwezi moja.
Mkafanyiwa uchunguzi mkaishia kwenye pesa chafu na uhujumu uchumi. Acheni kiburi na hivyo vijisenti
 
Utakuwa mmoja wa wavamizi bila shaka, amri ya mahakama imetoka ondokeni kwenye eneo la huyo bibi, miaka kumi na sita anapambania haki yake
 
Back
Top Bottom