Chalamila muogope Mungu: upandacho ndicho utakachovuna

Chalamila muogope Mungu: upandacho ndicho utakachovuna

Yani yule bibi mumewe alikuwa RC wa kwanza wa shinyanga. Sasa chalamila atajiskiaje mke wake akiswekwa ndani akiwa na umri huu....kwakwel
Hapana.
Inafaa yampate yeye mwenyewe badala ya mke wake.
Naamini kabisa wote hawa wanaojihusisha na kuwafanyia uovu waTanzania, wataulipia uovu huo wao wenyewe, na siyo watu wao wa karibu.
 
Kwanza hayo mamlaka ya kumuweka mtu ndani ameyatoa wapi huyo domo kaya?

Vipi zile ICD za akina GSM ameshamalizana nazo au aliona kule ni maji ya kina kirefu?
 
Unyani is really, Kuna mtu ameamua kuuza utu wake Kwa tende na halua.
 
We bwege msimtumie huyo bibi kuupotosha umma, vijana wake wako wapi mbn hamuwaoneshi? Huyo bibi alikamatwa mwenyewe? Acheni propagannda za kipumbavu, mnataka kushindana na serikali? Hizo pesa imewalevya? Angalieni mnaweza mkawa maskini ndani ya mwezi moja.
Mkafanyiwa uchunguzi mkaishia kwenye pesa chafu na uhujumu uchumi. Acheni kiburi na hivyo vijisenti
Mpumbavu mtu kama wewe mwenyewe , mtu ujuaye ukweli lakini unafunika kichwa kwenye ujinga na kuacha matako yako hewani kila mtu kuona uchi wako mchafu.

Soma vizuri mada uielewe maana kama weww ni chawa wa Chalamila kamfundishe kuwa hakuwahi kutoa barua ya wito na hana mamlaka hata kuiweka ndani familia yake mwenyewe lupango.
Mjinga weye.
 
Brother Masopa yani iko hivi hiyo nafuu au hiyo roho nzuri uitakayo haitokaa ije ukiwa hai mpaka kizazi chako cha 600

Ccm hoyee
Ukijiaminisha kuishi kwako duniani kuwa waweza kuishi jehanam tu, basi ujue kuna dunia njema zaidi ambayo bindamu wanaishi kistaarabu.
 
Mpumbavu mtu kama wewe mwenyewe , mtu ujuaye ukweli lakini unafunika kichwa kwenye ujinga na kuacha matako yako hewani kila mtu kuona uchi wako mchafu.

Soma vizuri mada uielewe maana kama weww ni chawa wa Chalamila kamfundishe kuwa hakuwahi kutoa barua ya wito na hana mamlaka hata kuiweka ndani familia yake mwenyewe lupango.
Mjinga weye.
Mkuu achana na hayo machawa.
Hawana uhalisia wowote zsidi ya pesa wanayopewa.
Hawana tofauti na malaya.
 
Kama angekuwa anamtia ndani Kwa mujibu wa Sheria ingekuwa sawa maana Sheria haifanyi kazi Kwa kifuata umri.
Tatizo hana mamlaka yeyote kisheria ya kuamuru mtu awekwe ndani.
Kwamba familia nzima wana makosa mpka huyo bibi?
 

Attachments

  • 1790277893689.png
    1790277893689.png
    1.9 MB · Views: 8
Laana ya umma mbaya sana amuulize Salmini amebaki wa kubeba kupeleka chooni.
Dr Salmin anasumbuliwa na maradhi kama binadamu mwingine. Hakunaga laana mkuu. Mengitsu Haile Mariam alikuwa dikteta katili Ethiopia ila hadi leo yuko fit anakula maisha Zimbabwe. Kama mtu akiugua ni laana basi Dr Salim Ahmed Salim naye ana laana kwa sababu ni mgonjwa.
 
Mabambasi, hayo mambo si ya kupongezwa au kujionea fahari serikali inajuta inajuta haswa na kuna uwezekano mkubwa haya majambo yakajirudia japo sio kwa ukubwa ule

Cha msingi serikali imeshajifunza
Nakupongeza kwa kukubali hilo.
Mauaji ya Okt 29 has a severely negative impact kwa waliohusika psychologically.
Heavy handedness inayoonyeshwa na viongozi wetu mwisho wa siku nuksi inabaki nao.
 
Kama angekuwa anamtia ndani Kwa mujibu wa Sheria ingekuwa sawa maana Sheria haifanyi kazi Kwa kifuata umri.
Tatizo hana mamlaka yeyote kisheria ya kuamuru mtu awekwe ndani.
Hujamsikiliza mwanasheria? Anayo mamlaka shida ni kwamba kuna sababu lazima ziwepo ili amweke ndani ambapo sababu hizo huyo Chalamila hakua nazo kwa sbb hao waanga hawakutenda kosa lolote
 
Mpaka hivi Leo, nimekuwa na mashaka ya kuendelea kuhusu chanjo za CVD 19,

Iangalie safu nzima ya CCM inavyofanya, maana hao wote ni wahanga wakuu wa kutumia kwa lazima chanjo hiyo ili kuwaridhisha mabwanyenye yenye mradi huo wa kutilia mashaka

Hivi, ni binadamu Gani ambaye kakosa huruma hata chembe dhidi ya binadamu wenzake?

Wanatekwa, wanapotezwa, wanauwawa, wanaswekwa lupango bila hata hatia, wewe huoni huna hata chembe ya utu? Kama si madhara ya chanjo zile

Ona huyu naye, kibibi ambacho kinasubiria tu siku ya sherehe zake za mwisho wa uwepo wa hii Dunia yenye Kila aina ya madhila, unakasweka ndani??
Hata chanjo hazihusiki ni roho mbaya zao tuu walizozaliwa nazo au zimekua induced baada ya kupata madaraka
 
Back
Top Bottom