Chalamila muogope Mungu: upandacho ndicho utakachovuna

Chalamila muogope Mungu: upandacho ndicho utakachovuna

View attachment 3676653
View attachment 3676955
Matumizi ya madaraka bila kujali mazingira tunaanza kuyaona.

Kumtia ndani mzee ambaye ni sawa na bibi yako kwa kibri tu ya kiutawala-hiyo ni laana.
Chalamila upandacho ndicho utakachovuna.

Muogope Mungu, maana hii ni kiburi ya madaraka itakayo kiathiri kizazi chako.

UPDATE
Msikilize mwanasheria wa familia ya Mushi..
Ni bahati mbaya kwamba hakuna mwanaccm mcha Mungu
 
Ni bahati mbaya kwamba hakuna mwanaccm mcha Mungu
Hayo yatabaki kuwa mawazo yako ama sivyo dunia isingekuwa na watu kama Warioba au Polepole, au hata Mwalimu mwenyewe.
Ukiweka siasa unazozipenda wewe kuwa imani, huna tofauti na mtu anayeshabikia ufalme wa giza.
 
Back
Top Bottom