Chalamila muogope Mungu: upandacho ndicho utakachovuna

Yani yule bibi mumewe alikuwa RC wa kwanza wa shinyanga. Sasa chalamila atajiskiaje mke wake akiswekwa ndani akiwa na umri huu....kwakwel
Hapana.
Inafaa yampate yeye mwenyewe badala ya mke wake.
Naamini kabisa wote hawa wanaojihusisha na kuwafanyia uovu waTanzania, wataulipia uovu huo wao wenyewe, na siyo watu wao wa karibu.
 
Kwanza hayo mamlaka ya kumuweka mtu ndani ameyatoa wapi huyo domo kaya?

Vipi zile ICD za akina GSM ameshamalizana nazo au aliona kule ni maji ya kina kirefu?
 
Unyani is really, Kuna mtu ameamua kuuza utu wake Kwa tende na halua.
 
Mpumbavu mtu kama wewe mwenyewe , mtu ujuaye ukweli lakini unafunika kichwa kwenye ujinga na kuacha matako yako hewani kila mtu kuona uchi wako mchafu.

Soma vizuri mada uielewe maana kama weww ni chawa wa Chalamila kamfundishe kuwa hakuwahi kutoa barua ya wito na hana mamlaka hata kuiweka ndani familia yake mwenyewe lupango.
Mjinga weye.
 
Brother Masopa yani iko hivi hiyo nafuu au hiyo roho nzuri uitakayo haitokaa ije ukiwa hai mpaka kizazi chako cha 600

Ccm hoyee
Ukijiaminisha kuishi kwako duniani kuwa waweza kuishi jehanam tu, basi ujue kuna dunia njema zaidi ambayo bindamu wanaishi kistaarabu.
 
Mkuu achana na hayo machawa.
Hawana uhalisia wowote zsidi ya pesa wanayopewa.
Hawana tofauti na malaya.
 
Kama angekuwa anamtia ndani Kwa mujibu wa Sheria ingekuwa sawa maana Sheria haifanyi kazi Kwa kifuata umri.
Tatizo hana mamlaka yeyote kisheria ya kuamuru mtu awekwe ndani.
Kwamba familia nzima wana makosa mpka huyo bibi?
 
Ukijiaminisha kuishi kwako duniani kuwa waweza kuishi jehanam tu, basi ujue kuna dunia njema zaidi ambayo bindamu wanaishi kistaarabu.
Tunakwambia ukweli unatuita machawa haya
 
Laana ya umma mbaya sana amuulize Salmini amebaki wa kubeba kupeleka chooni.
Dr Salmin anasumbuliwa na maradhi kama binadamu mwingine. Hakunaga laana mkuu. Mengitsu Haile Mariam alikuwa dikteta katili Ethiopia ila hadi leo yuko fit anakula maisha Zimbabwe. Kama mtu akiugua ni laana basi Dr Salim Ahmed Salim naye ana laana kwa sababu ni mgonjwa.
 
Mabambasi, hayo mambo si ya kupongezwa au kujionea fahari serikali inajuta inajuta haswa na kuna uwezekano mkubwa haya majambo yakajirudia japo sio kwa ukubwa ule

Cha msingi serikali imeshajifunza
Nakupongeza kwa kukubali hilo.
Mauaji ya Okt 29 has a severely negative impact kwa waliohusika psychologically.
Heavy handedness inayoonyeshwa na viongozi wetu mwisho wa siku nuksi inabaki nao.
 
Kama angekuwa anamtia ndani Kwa mujibu wa Sheria ingekuwa sawa maana Sheria haifanyi kazi Kwa kifuata umri.
Tatizo hana mamlaka yeyote kisheria ya kuamuru mtu awekwe ndani.
Hujamsikiliza mwanasheria? Anayo mamlaka shida ni kwamba kuna sababu lazima ziwepo ili amweke ndani ambapo sababu hizo huyo Chalamila hakua nazo kwa sbb hao waanga hawakutenda kosa lolote
 
Hata chanjo hazihusiki ni roho mbaya zao tuu walizozaliwa nazo au zimekua induced baada ya kupata madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…