Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ni bahati mbaya kwamba hakuna mwanaccm mcha MunguView attachment 3676653
View attachment 3676955
Matumizi ya madaraka bila kujali mazingira tunaanza kuyaona.
Kumtia ndani mzee ambaye ni sawa na bibi yako kwa kibri tu ya kiutawala-hiyo ni laana.
Chalamila upandacho ndicho utakachovuna.
Muogope Mungu, maana hii ni kiburi ya madaraka itakayo kiathiri kizazi chako.
UPDATE
Msikilize mwanasheria wa familia ya Mushi..
Hayo yatabaki kuwa mawazo yako ama sivyo dunia isingekuwa na watu kama Warioba au Polepole, au hata Mwalimu mwenyewe.Ni bahati mbaya kwamba hakuna mwanaccm mcha Mungu
Sawa sawaBibi anayegombea mali hawezi toa laana.
Una maana kugombea Haki!Bibi anayegombea mali hawezi toa laana.
Kwa machawa, ukweli ni kitu kile uongo wanapenda kuwalisha viongozi wasiooenda kinachoendelea katika jamii.Tunakwambia ukweli unatuita machawa haya
Machawa wa wazi, worser than prostitutes!Kwa machawa, ukweli ni kitu kile uongo wanapenda kuwalisha viongozi wasiooenda kinachoendelea katika jamii.