adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
You will be worse than a Maddog .Bora kufa kafiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You will be worse than a Maddog .Bora kufa kafiri
Hakuna hata umuhimu sana wa kumuaga marehemu.Naamini kuna vitu vingi ambavyo uisilamu unakataza lakini baadhi ya waumini wake wanavitaka. Alikufa jirani yetu muisilamu hapa, akatolewa hospitali na kuzikwa juu kwa juu, sisi tukaletewa tu taarifa kuwa jamaa ameshakufa na ameshazikwa huko huko siku hiyo hiyo. Watu wengi wakiwemo waisilamu walisikitika kwa kukosa fursa ya 'kumuaga' marehemu.
FallacyWakuu,
"Nikifa nizikwe kama Waislamu siyo nizikwe Kiislam, miaka ya leo tumekuwa na misiba yenye mbwembwe nyingi sana bajeti ya mamilioni zinakwenda kuupa ufahari msiba lakini baada ya wiki mbili au miezi mitatu kama ni baba na mama waliowaacha watoto msiba unakuwa ni mzuri na wakifahari halafu baada ya miezi miwili mitatu watoto walioachwa wakiwa yatima wanaanza kufukuzwa ada.
Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es asalaam kwenye hafla ya kutoa misaada kituo cha watoto yatima UMRA Kinondoni.
Kama hakuna umuhimu, anachoomba ni kitu gani? Na wale waisilamu wanawake wanaoenda kanisani na makaburini katika mazishi ya jirani zao wakristu, kwa nini wanafanya hivyo?Hakuna hata umuhimu sana wa kumuaga marehemu.
Point ya msingi hujalazimishwa kitu mkuu mtu anaweza akasikiliza na kuendelea na maisha yake, sasa makasiriko ya nini?Hapo anahutubia akina nani? Familia yake?
FactWakuu,
"Nikifa nizikwe kama Waislamu siyo nizikwe Kiislam, miaka ya leo tumekuwa na misiba yenye mbwembwe nyingi sana bajeti ya mamilioni zinakwenda kuupa ufahari msiba lakini baada ya wiki mbili au miezi mitatu kama ni baba na mama waliowaacha watoto msiba unakuwa ni mzuri na wakifahari halafu baada ya miezi miwili mitatu watoto walioachwa wakiwa yatima wanaanza kufukuzwa ada.
Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es asalaam kwenye hafla ya kutoa misaada kituo cha watoto yatima UMRA Kinondoni.
Umeona mbali sanaHuyu anafanya uchawa kwa Samia hana lolote ,
Uzikwe na sanda,uzikwe kwenye sanduku, uzikwe uchi kama hukujiandaa na Mungu wako haisaidii kitu
Huyu anasema hivo ili Samia asimtumbue
We nawe umekurupuka hujamuelewa ,msikilize tenaHuyu anafanya uchawa kwa Samia hana lolote ,
Uzikwe na sanda,uzikwe kwenye sanduku, uzikwe uchi kama hukujiandaa na Mungu wako haisaidii kitu
Huyu anasema hivo ili Samia asimtumbue
Kitubio chenyewe eti cha kwenda kutubu kwa padre ambaye naye anakula wake za waumini wake kimya kimya, ushenzi mtupu mnawafurahisha wanadamu tu hapo.Huyu kuna kitu ameshtuka.
Kauli yake ya kwanza alisema anataka akifa azikwe kiisilamu. Kama kawaida Roman Catholic wakainote down hiyo kauli maana huwa hawapendi kujihusisha kwenye mazishi ya mtu ambaye imani yake katika Kanisa imeondoka waziwazi (kwa kutamka, kuishi wawili bila ndoa, kujiua, kufia maeneo yanayoashiria uwepo wa matendo mabaya).
Sasa hivi amekuja na kauli mpya kwamba azikwe kama waisilamu na sio kiisilamu.
Ngoja msubiri picha siku atakapokufa kweli, bila kitubio Roman Catholic huwa hawaangalii sura ya mtu. Aulizwe Ngombale Mwiru, Ruge Mutahaba na Bilionea wa Arusha
Imeandikwa, lazima utamke kujuta dhambi zako. Hata wanaotoa ushuhuda, hao pia hutoa dhambi zako hadharani mbele ya washirikina, wazinzi na wezi wenzaoKitubio chenyewe eti cha kwenda kutubu kwa padre ambaye naye anakula wake za waumini wake kimya kimya, ushenzi mtupu mnawafurahisha wanadamu tu hapo.
Yaani utumie rasilimali za serikali kutoa wosia wako? Tatizo hamjitambuiPoint ya msingi hujalazimishwa kitu mkuu mtu anaweza akasikiliza na kuendelea na maisha yake, sasa makasiriko ya nini?
Duh!Yaani utumie rasilomali za serikali kutoa wosia wako? Tatizo hamjitambui
Wewe ndio umekurupuka ,Chalamila tunamjua kuliko weweWe nawe umekurupuka hujamuelewa ,msikilize tena
Mkuu nani kakudanganya harusi ni simple? Au ni uhaba wa pesa tu.Karibuni kwenye uislamu hii ni dini simple sana, watu mnacimplicate maisha bure tu.
Uislamu sio tu kazika hata harusi zetu ni simple tu.
Ni msikitini pekee unaweza kukuta raisi wa nchi anasali safu moja na walala hoi hakuna special reserved seats kwa mheshimiwa yeyote msikitini.
Kwani ana kufa lini
Yeah kabisaAmeongea ukweli...