Salaam, Shalom!!
Ndugu Chalamila, uliwahi Kutoa kauli kuhusu kuhamasisha maandamano na kuandika mabango Ukiwa RC Mwanza.
Ulisema, ni Ruksa kubeba mabango yenye jumbe mbalimbali.
Ni muhimu ukawapa ushirikiano CHADEMA maana Dar Ina wapiga kura pia ambao wangependa kushuhudia na kushiriki uchaguzi Ulio huru na WA HAKI utakaolirudisha Sanduku la kura lililoibwa 2020, mahala pake.
Karibuni 🙏.