Chalamila ni muumini wa maandamano ya amani, bado tunakumbuka kauli ya Mwanza

Chalamila ni muumini wa maandamano ya amani, bado tunakumbuka kauli ya Mwanza

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!

Ndugu Chalamila, uliwahi Kutoa kauli kuhusu kuhamasisha maandamano na kuandika mabango Ukiwa RC Mwanza.

Ulisema, ni Ruksa kubeba mabango yenye jumbe mbalimbali.

Ni muhimu ukawapa ushirikiano CHADEMA maana Dar Ina wapiga kura pia ambao wangependa kushuhudia na kushiriki uchaguzi Ulio huru na WA HAKI utakaolirudisha Sanduku la kura lililoibwa 2020, mahala pake.

Karibuni 🙏.
 
Bango LANGU ningependa lisomeke:

BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, HAPATAFANYIKA UCHAGUZI WOWOTE WA HAKI.
 
Salaam, Shalom!!

Ndugu Chalamila, uliwahi Kutoa kauli kuhusu kuhamasisha maandamano na kuandika mabango Ukiwa RC Mwanza.

Ulisema, ni Ruksa kubeba mabango yenye jumbe mbalimbali.

Ni muhimu ukawapa ushirikiano CHADEMA maana Dar Ina wapiga kura pia ambao wangependa kushuhudia na kushiriki uchaguzi Ulio huru na WA HAKI utakaolirudisha Sanduku la kura lililoibwa 2020 mahala pake.

Karibuni 🙏.
Tunaomba ule uzi urejeshwe
 
Back
Top Bottom