Chalamila shikamoo brother

Oya mbona umekua kimya kuhusu ile dawa nahitaji debe moja

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu mtangazaji nakupata niwafahamishe wasikilizaje wetu wa maeneo mbali kwamba hapa Moshi 97.6FM mambo ni mazuri Hamna bughuza zozote mambo ni mazuri na Kwa baadhi ya viwanja ni ww tu nimefanikiwa kutembelea baadhi ya viwanja kuanzia hapa Red stone, Laliga, Malindi na black diamond watanzania wanafaidi maua ya Dunia bila usumbufu...na kumekua na ongezeko la wageni kutoka jiji la dar es salaam

Kwako studio
 
Nakupata ripota wetu machachari kutoka jiji la maraha moshi.
Mji msafi kuliko mji wowote tanzania...
Hapa jijini darisalama hali si shwari maana wazee wa ajira portal wanalalamika kua brother anaupiga mwingi..
Mpaka sehemu za huduma pendwa kaweka viwavi na farasi weupe..
Ndugu ripota kama unanipata ebu tujuze hali ya A Town
Ovaaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…