Chalamila shikamoo brother

Chalamila shikamoo brother

1. Kwenye line ya simu halooo

2. Haloo unaongea na mpaji mungu kutoka Red stone....Moshi

1. Tuma salamu kwa watu watatu

2. Salamu zangu za kwanza namtumia Mayalla kutoka River side, za pili namtumia shengena kutoka Concord kariakoo na za mwisho namtumia Kagame kutoka sinza mugabe
Oya mbona umekua kimya kuhusu ile dawa nahitaji debe moja

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mpaji mpaji,,,,,,network inasumbua ila nakupata ndugu yangu.Siku hizi brother kaagiza mpaka viwavi na nzige watukamate hata tukienda kuchungulia fursa za ajira portal kwenye bar za sinza 🤣🤣🤣🤣🤣
Sijui hapo moshi mkuu
Ovaaaaah
Ndugu mtangazaji nakupata niwafahamishe wasikilizaje wetu wa maeneo mbali kwamba hapa Moshi 97.6FM mambo ni mazuri Hamna bughuza zozote mambo ni mazuri na Kwa baadhi ya viwanja ni ww tu nimefanikiwa kutembelea baadhi ya viwanja kuanzia hapa Red stone, Laliga, Malindi na black diamond watanzania wanafaidi maua ya Dunia bila usumbufu...na kumekua na ongezeko la wageni kutoka jiji la dar es salaam

Kwako studio
 
Nakupata ripota wetu machachari kutoka jiji la maraha moshi.
Mji msafi kuliko mji wowote tanzania...
Hapa jijini darisalama hali si shwari maana wazee wa ajira portal wanalalamika kua brother anaupiga mwingi..
Mpaka sehemu za huduma pendwa kaweka viwavi na farasi weupe..
Ndugu ripota kama unanipata ebu tujuze hali ya A Town
Ovaaaaaah
 
Back
Top Bottom