Chalamila shikamoo brother

Mkuu Malindi siku hizi hamuendi tena?
 
Ndugu mwandishi huku vijana wanasema kua hali sio shwari barabarani na sasa wamehamia kwenye simu...
Na vile vile ndugu mwandishi,,,,,,huku siku hizi vijana wa ajira portal ndio wajasiriamali wakubwa wa hii sekta...
Na ndugu mwandishi habari kubwa huku ni ya kijana CHUMA na Dada Mage kwenye harakati za Gigi...
Sijui unanipata vizuri ndugu mwandishi???
 
Anatoka na mbinu zake za Bush huko anazileta town akili matope kitu kipo Dunia nzima kimeshindikana tangu Karne hizo hata Yesu hajazaliwa Yesu kaja kawakuta akawaacha eti Challamila anakuja anajifanya yeye ana akili kumzidi Yesu
Mkuu punguza jazba..
Yule brother ujue
 
Hapo Yesu kaingia kimakosa
 
Anatoka na mbinu zake za Bush huko anazileta town akili matope kitu kipo Dunia nzima kimeshindikana tangu Karne hizo hata Yesu hajazaliwa Yesu kaja kawakuta akawaacha eti Challamila anakuja anajifanya yeye ana akili kumzidi Yesu
Hivi vitu vinahitaji busara na akili nyingi mnooo
 
Kwa kwel zile harakati za mtu mweusi nimefanikiwa kuziona na nimefanikiwa kuongea na baadhi ya wakongwe wa hizi fani za utazamaji wa filamu za ng*n* na picha utupu kutoka maeneo ya tanga bara bara ya 12 na haya yalikua ni mazungumzo yetu

Mimi: Khabar yako, mnaendeleaje katika jiji la "waja leo waondoka Leo"

Yeye: salama kbs tunaendelea vzr

Mimi; siku za karibuni Kuna pilau la kufungia mwaka limepikwa Tanzania na likavujishwa kutoka ardhi ya Biden kwa uzoefu wako umegundua nini

Yeye; ndugu mtangazaji lile pilau ama kwel limelika na kazi imefanyika kilichokosekana ni ufundi mdogo mdogo baadhi ya viungo vilikua havijakolea kwa sie wazee wa Tanga tumegundua madhaifu mengi ila vijana wa siku hz hamna majambo wanaona pale Wana la kujifunza ila sie walaaaa

Mimi; asante sana mzeewangu

Kama ulivoona ndugu kagame umeweza kuona maoni ya baadhi ya wasikilizaji wetu

Kwako studio
 
Mkuu punguza jazba..
Yule brother ujue
Yesu alifyata mkia tena alaiwazuia watu wasimpige Malaya akasema ambae hana dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe watu wote wakakimbia kwa hio hata Yesu alikua mtetezi wa Malaya km unasoma biblia nenda ukasome mpe na Challamila biblia asome Yesu mwenyewe aliufyata akakaa upande wa Malaya

Mpigie 0767 150 400
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…