Chalamila shikamoo brother

Chalamila shikamoo brother

Nakupata ripota wetu machachari kutoka jiji la maraha moshi.
Mji msafi kuliko mji wowote tanzania...
Hapa jijini darisalama hali si shwari maana wazee wa ajira portal wanalalamika kua brother anaupiga mwingi..
Mpaka sehemu za huduma pendwa kaweka viwavi na farasi weupe..
Ndugu ripota kama unanipata ebu tujuze hali ya A Town
Ovaaaaaah
Ewaaaaah pia nlifanikiwa kufika kiwanja maarufu Cha shivaz kilichopoa 96.2FM Arusha kiwanja kinachosifika kwa kuwa na kila aina ya mema ya dunia kuanzia wahindi, wabantu, Cushites na nilotes kwa kweli Watanzania wana kila sababu za kumshukuru mama Samia kwa sababu hali ni shwari watu wanapata huduma kwa nafuu na wanafurahia maisha

Pia nimefika hadi maeneo ya babati mjini kujionea hali halisi kwa kwel watanzania waamue wao mambo ni saafi kbs huduma zipo available 24/7 kuanzia bara bara ya Olympic, maeneo ya na River Nile, njoo mpaka maeneo ya mahakamani, royal hotel, majengo mapya na maeneo mengine Kwa kwel tunaweza sema together tunawakilisha

Nirudi kwenu studio za dar es salaam kwa matangazo zaidi
 
TUNAKUPATA NDUGU MWANDISHI...
TUPATE WADHAMINI KIDOGO AMBAO NI RICK BOI NA UZI WA KULA TUNDA KIMASIHARA...
 
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 Tunakusalimia kutokea mitaa mwanayamala hospital, mwembe yanga na tandika devis coner na kigamboni darajani na sinza mugabe na kinondoni studio DSM....
Shikamoo brother....!!!!!
Salamu zikufikie,,,braza 😂🤣🤣
Chalamila pokea salamu kutoka Kwa kitukuu Cha kagame
 
Back
Top Bottom