Chalamila shikamoo brother

Chalamila shikamoo brother

🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 Tunakusalimia kutokea mitaa mwanayamala hospital, mwembe yanga na tandika devis coner na kigamboni darajani na sinza mugabe na kinondoni studio DSM.... Shikamoo brother....!!!!!

Salamu zikufikie,,,braza

😂🤣🤣

Salaamu ni uungwana braza
Unataka kuwalaza nja pisi zetu wewe si bure😀😀😀😀

Kimya kimya ndo mwendo wa chobingo
 
Ndugu ripota salamu zimefika na atapewa muhusika..
Ila tujuze hapo keko kuna mtaa una gesti nyingi kuliko nyumba za makazi.
Tatizo nn ndugu ripota
Nikiripoti kutoka Magurumbasi sasa ndugu yangu studio , huu mtaa wa Magurumbasi ndiyo wenye vigesti uchwara vingi kuliko sehemu yoyote kwasababu ndiko vijana wanaojolipua kwenye maduka ya wahindi Kariakoo wanakuja kuzitumia hapa katika mabar mbalimbali maeneo hay hivyo baada ya kuzitumia hawaoni hajizi kujipumzisha maeneo haya .

Ni mimi mdogo wake na Matumla kutokea keko ya Magurumbasi

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu ripota wetu mwenye jina la kiebrania 🤣🤣🤣🤣
Tunakupata tunakupata moja kwa moja toka makao makuu studio
Asante kwa ushirikiano na ndio masna keko magurumbasi uhalifu hauishi.
Hv hizi habari za vigesti uchwara brother anazijua kweli?????
Na je wale vijana wa ajira poetal waliovunjiwa vibanda vyao vya kazi mwananyamala wamehamia huko kwa wingi au????
Kwako ndugu ripota unaweza kuendelea kutupa hali halisi hapo magurumbasi hasa kipindi hiki cha mvua mvua karibu sana
 
Nikiripoti kutoka Magurumbasi sasa ndugu yangu studio , huu mtaa wa Magurumbasi ndiyo wenye vigesti uchwara vingi kuliko sehemu yoyote kwasababu ndiko vijana wanaojolipua kwenye maduka ya wahindi Kariakoo wanakuja kuzitumia hapa katika mabar mbalimbali maeneo hay hivyo baada ya kuzitumia hawaoni hajizi kujipumzisha maeneo haya .

Ni mimi mdogo wake na Matumla kutokea keko ya Magurumbasi

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Matumla mdogo rudi hewani,,,,upo live now redioni
Ovaaa!!!
 
Ndugu ripota wetu mwenye jina la kiebrania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunakupata tunakupata moja kwa moja toka makao makuu studio
Asante kwa ushirikiano na ndio masna keko magurumbasi uhalifu hauishi.
Hv hizi habari za vigesti uchwara brother anazijua kweli?????
Na je wale vijana wa ajira poetal waliovunjiwa vibanda vyao vya kazi mwananyamala wamehamia huko kwa wingi au????
Kwako ndugu ripota unaweza kuendelea kutupa hali halisi hapo magurumbasi hasa kipindi hiki cha mvua mvua karibu sana
Mitambo ni kama ilinitoa hewani , nakupata kwa uzuri hapo studio .

Ni bayana kuwa kwasasa wamehamia hapa keko japo mchana vijana wa ajira portal wanashinda mtaa unaoitwa Toroli maana huko vigesti uchwara vimejazana huko ila kiza kikisha ingia wanasogea magurumbasi kwenye mabar kwa vijana mabwenyenye wanaojilipua kwenye maduka ya wahindi .

Ifahamike kuwa kwa sasa vijana wa ajira portal si kuwa wapo katika nyumba bainika haraka ila ni kuwa inakuhitaji kuwa na uenyeji mpaka kujua kuwa hii nyumba ni maalumu kwa kazi maalumu za vijana wa ajira portal .

Kwako studio.

Naaam naaaam naam tunakupata ndugu mwandishi na tunakupata hapa studio live bila chenga..
Ndio maana nyumba nyingi za keko zipo kimya kama zinauza bangi...
Kumbe vijana wa ajira portal wapo kazini.
Ndugu mwandishi mm nakurudisha studio kwa mdhamini wetu
Rick boi na uzi wa KULA TUNDA KIMASIHARA...
Ukirudi hewani tujuze maana tupo live redioni ndugu ripota.
 
Mitambo ni kama ilinitoa hewani , nakupata kwa uzuri hapo studio .

Ni bayana kuwa kwasasa wamehamia hapa keko japo mchana vijana wa ajira portal wanashinda mtaa unaoitwa Toroli maana huko vigesti uchwara vimejazana huko ila kiza kikisha ingia wanasogea magurumbasi kwenye mabar kwa vijana mabwenyenye wanaojilipua kwenye maduka ya wahindi .

Ifahamike kuwa kwa sasa vijana wa ajira portal si kuwa wapo katika nyumba bainika haraka ila ni kuwa inakuhitaji kuwa na uenyeji mpaka kujua kuwa hii nyumba ni maalumu kwa kazi maalumu za vijana wa ajira portal .

Kwako studio.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Ndugu ripota vipi mitaa ya pale DDC karibia na TAMECO..
Salaam ziwafikie
 
Back
Top Bottom