Dede 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 1,182
- 2,248
Ni maoni yangu tu mrembo.😂😂😂Ewwwww
Kwa hiyo unanifundisha kupanga uzazi tena.
😂😂😂Tena kijiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni maoni yangu tu mrembo.😂😂😂Ewwwww
Kwa hiyo unanifundisha kupanga uzazi tena.
😂😂😂Tena kijiti
Kuna umuhimu wa serikali kurudisha kampeni ya uzazi wa mpango(nyota ya kijani) na kusisitiza uzazi wa mpango kwa raia.Serikali isikwepe jukumu lake.
Jamani tembeeni muone, kuna watu wana maisha magumu ukimwambia aitoe 40 kwa pamoja ni bora umpige kisu, HANA, kuna watu wana maisha magumu huko.
Mfano mzuri kuna ile video yule mzee anatembea na samaki akapewa 20k mpaka akatoa machozi ya shukrani, vijijini huko kuna wakina mama wanalipa vipande ama mraba 20 kwa 20 ama 10 kwa 10, hizo ni mita kwa elfu saba. Anaweza kumaliza siku 2 mpaka 3, sasa jiulize kazi ya elfu 7 amalize kwa siku 3 ama 2, kwa siku kaingiza kiasi gani, anakula kiasi gani, bajeti ya hospital kiasi gani, shule mtoto kiasi gani, umeme ama solar, ama mafuta ya taa, ama miahumaa kiasi gani, na hizo kazi ni za msimu
Serikali itoe hudumu muhimu ikiwezekana bure, elimu bure, afya bure inawezekana kabisa.. Mkuu wa wilaya, sijui nani nani wanatembelea gari za milioni 400 huko, je pesa hizo hazitoshi kuhudumia afya na elimu wilaya husika!?
Na huduma hizo zisiwe bure tu ila ziwe ni bora kabisa.
Hakuwahi kuwa pale anapojiona yupo, sasa naona anawathibitishia wale ambao bado wanaamini kuwa bado yupo juu kwamba amesha dropMtafuta kiki kwenye matukio
Unajua Masharti ya hiyo Bima ? Hivi mnadhani watu wanahangaika na NHIF kwanini ?nimeona kuna changamoto kubwa ya awareness kwa watanzania
vitu vipo ila kujua ndio shida
jamaa yangu mmoja ana bima ya Nssf yake na familia yake nimejua hicho kitu kipo 2020
Hakuna kitu kinaitafuna serikali kama Elimu ya bure hadi fm 6,wanaona aibu tu kuifuta ila inawakosti billions of money kila mwezi kutoa ruzuku,hii kitu walikurupuka.Hii serikali nayo ndio imewazoesha mambo ya burebure ili Kupata sifa za kijinga.
Weka gharama reasonable lakini bure ni uamuzi usio Sahihi.
Kama hiyo elfu 40 iko reasonable
Haya, elimu nayo waweke Ada kila mtoto atoe Ada elfu 20 iende serikali kuu.
Waalimu Wapate mishahara, marupurupu na serikali isipate Mzigo kuchukua pesa kwenye sekta zingine
Kila sekta ijihakikishie inajitegemea kwa angalau asilimia 50
Hakuna kitu kinaitafuna serikali kama Elimu ya bure hadi fm 6,wanaona aibu tu kuifuta ila inawakosti billions of money kila mwezi kutoa ruzuku,hii kitu walikurupuka.
Hio bima ingekuwa ni bima kweli usingeona watu wakihangaika na huduma za afya.Mkuu ukienda hospital watu wanalia Sana. Gharama za Upasuaji serikali kwenye Mimba na kujifungua sio chini ya 150k Mpaka unatoka sio ajabu ukatoa 200k
Watu wengi wanalia wakati wangekuwa na Bima ingekuwa elfu 40 tuu
Hivi unadhani shida ni kukusanya kodi au shida ni matumizi ya hizo kodi? Hebu fikiria ukoo wenu 70% labda ni diaspora wana miliki uchumi mzuri halafu 30% wako local apeche alolo. Wale 70% wakisema wachange hela ili kuwakomboa hao 30% kisha waliopewa dhamana miongoni mwao wakawa hawasaidii hawa 30% kwa makusudi unadhani wa kulaumiwa ni nani?Hivi mnataka vitu vya bure alafu mtegemee vifaa hospitalini, logically imekaa Sawa hiyo.
Watanzania wangapi wanalipa Kodi? Au Ndio ninyi mnasema tukinunua vitu ndio tunalipa Kodi?
Watu watoe Kodi wapewe huduma.
Mbona hela za pombe zinapatikana?
Upumbavu ule. Ngoja wachina wajae waje kutujambisha.Kuna umuhimu wa serikali kurudisha kampeni ya uzazi wa mpango(nyota ya kijani) na kusisitiza uzazi wa mpango kwa raia.
Hivi unadhani shida ni kukusanya kodi au shida ni matumizi ya hizo kodi? Hebu fikiria ukoo wenu 70% labda ni diaspora wana miliki uchumi mzuri halafu 30% wako local apeche alolo. Wale 70% wakisema wachange hela ili kuwakomboa hao 30% kisha waliopewa dhamana miongoni mwao wakawa hawasaidii hawa 30% kwa makusudi unadhani wa kulaumiwa ni nani?
Same applies kwa serikali, its proven to lack integrity especially when it comes to revenues. Kila mwezi tunajinadi kukusanya trillion mbili ila mwisho wa kila mwaka unaskia imetoa 700 Billions kununua magari ya anasa. Land cruiser zimekuwa built to last at least 25 years ni gari ngumu na za gharama ila kila baada ya miaka mitatu zinanunuliwa upya. Achilia mbali hilo, kuna udokozi wa hatari kikundi kidogo kimegawana trillion huyu kachukua 500B yule 300B mwengine 100B wengine wamegawana 50B. Hizo ni kodi za wananchi na madeni ambayo watayalipa tu. Mbaya hao jamaa wakishatajwa kesi huwa zinaishia hewani. Nani atakuwa na moyo wa kulipa kodi katika mazingira hayo?
Wengi tunalipa indirect tax. Wanaolipa direct tax ni wachacheTukilipa Kodi wengi hapa tutakuwa na uchungu wa hii nchi.
Najua pesa ukitoa inavyouma.
Sema watoa Kodi ni Wachache hivyo serikali ni rahisi kuwadhibiti hata wakileta chokochoko.
Moja ya dalili ya sehemu kuna mafisadi ni wananchi wengi kutokulipa kodi
Hata uhakika huna una bwabwaja tu.Kuna Bima ya CHF kama sijakosea ambayo kwa mwaka ni elfu 40,
CHALAMILA APANDISHWE CHEO,UJINGA UMETAMALAKI HII NCHI!!!Watu wanataka bure tu kila kitu!
Yani hata wakipeana mimba kwa starehe zao wanataka serikali iwahudumie bure!
Kama wewe ni maskini hakuna haja ya kuzaliana tafuta kwanza unafuu wa maisha kwa kuweza kujihudumia wewe kwanza kisha ndo ufikiri kuleta kiumbe hapa duniani.Robert Heriel Mtibeli
Huenda haujui Umasikini au umekuzwa katika mfumo wa mafanikio acha nikae kimya.
Naunga mkono hojaKwema Wakuu!
Chalamila hapa nitamtaja kama Mhusika bila kuhusisha cheo chake. Ni aina ha watu ambao hawana breki za kuongea na watu wa aina hii mara nyingi huongeaga UKWELI mchungu ambao wakati mwingine huweza kuwaacha watu mdomo wazi.
Chalamila kadiri unavyompa nafasi na Muda WA kuongea ndivyo anavyoweza Kuropoka mambo ambayo ni magumu. Kwa Sisi tunaojua watu aina yake hatuwapagi nafasi Sana ya kuongea au kuwauliza maswali Tata ambayo yatamfanya ajichie.
Chalamila ni kama Kina Tundu Lisu. Tofauti Yao ni Moja. Mmoja anajua kujenga hoja wakati mwingine hawezi kujenga hoja ila wote wanaweza kuwa wanasema ukweli uleule wa Jambo lilelile.
Wasema ukweli mara nyingi hawanaga Staha. Hiyo huwafanya kuitwa roporopo.
Tukirudi kwenye hoja ya Chalamila kuhusu Wajawazito. Yupo sahihi Kabisa
Serikali sio kama imeweza Kabisa lakini angalau inajaribu kujitahidi Kusaidia watu hasa watu wa chini ingawaje zipo changamoto za kiutendaji na kifedha.
Kuna Bima ya CHF kama sijakosea ambayo kwa mwaka ni elfu 40,
Mambo inayotibu Bima hii ni Magonjwa ya kawaida yote.
Ujauzito
Ultrasound
X-ray
Kujifungua na Upasuaji mdogo
N.k.
Hivi mtu unajua Kabisa unaenda kuzaa mtoto au umembebesha Mimba Binti au Mkeo. Kwa nini usiweke angalau kwa siku elfu Moja Miatano kwa siku kisha mwisho wa mwezi wa Kwanza wa Ile Mimba ukate Bima ya elfu 40 kwaajili ya kumsaidia Mkeo au huyo uliyempa Mimba
Au kama umetelekezwa, sio sababu ya kukosa Bima ya elfu 40 kwa Sababusiku hizi Fursa za uzalishaji na kujipatia kipato ni Haki Sawa baina ya Mwanaume na mwanamke. Nikimaanisha huna haja ya kumtegemea Mumeo au mwanaume wakati Fursa zimetolewa Sawa.
Kata Bima ya elfu 40 kwaajili yako kama mwanamke mjamzito.
Na sio kulialia kumtafutia mtu Lawama kwa Jambo linalokuhusu mwenyewe ambalo umerahisishiwa.
Mambo ya huruma huruma, burebure ndio yanaharibu jamii.
Tunajua nchi yetu ni Maskini na jamii zetu nyingi ni Maskini ndio maana serikali kwa sehemu nayo imerahisisha kwa upande wao. Sasa mwaka mzima ushindwe Kutafuta elfu 40 ulipie Bima ati utake serikali ikuhudumie. Huo kama sio Ukengemaji ni nini?
Chukua Bima ya 40 Kisha andaa pesa ya kujifungulia ya dharura na ya uzazi
Hayo ndio majukumu yenyewe. Pumbavu.
Tupo kwa ajili ya wengi wenye kuhitaji msaada wanaoustahili
Tupo hapa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
MIMBA SIO AJALI,ACHENI KUJIENDEKEZA NDIO MAANA MNAAMBIWA MPANGE UZAZI NYIE WAJINGA.Huduma za uzazi hazipatikani mpaka uchangie kwa mwaka mmoja kama si miwili, kua na akili.
HUU UJINGA WA SIMBA NA YANGA NDO UNAWAFANYA WASIFANYE KAZI KWA BIDII.NCHI IMEJAA WAJINGA.Wanaweza kubishana simba na Yanga tu
Serikali ndio imekutia mimbaHuduma kwa mama mjamzito ni bure, Serikali kama haiwezi iseme. Hadi huduma za mama na mtoto zinawashinda, aibu iliyoje.
Hii nchi wajinga wanataka kujiona wana haki.Yaani mtu akabanjuke kwa mpango wake alafu anataka aje atusumbue kwenye majukumu ambayo ni matokeo ya starehe yake😁😁😁Unataka kusema huwezi kupata 50,000/= Kwa miezi 8? Bwashe mimba siyo chafya