Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye uwezo hawapeleki kwenye huduma ya bure, speaking from experience.Sababu zilikuwa zisizo na AKILI
Wangesema tuu gharama nafuu Kabisa
Huwezi kutoa bure alafu wewe ni nchi Maskini.
Kitendo cha kusema ni bure kinawabwetesha hata wale wenye uwezo wa Kutafuta pesa na kujihudumia
Rc kasema ukweli mchungu. Hakuna bure kabisa. Huju kwetu kliniki daily husisitiza kujiandaa dish, gloves, vitenge dot walau 2 mpya, nk tena wengine hadi huitisha ili wakague kama tayari vipo. Bure.
Kkkubwa tuanbiwe tu lazi.a kuchangia
Wakati wanawajibu hivyo wapiga kura wao nao wanashuhudia wajinga wa CCM wanavyo tumbua raha kwa kulipiwa posho ,hotel , na kusafirishwa kwa mambasi kwenda kupitisha mgombea aliye jipitisha mwenyewe , pia wanashuhudia mamilioni yanayo tapanywa kwa kununua magoli ya simba na yanga ambayo kimsingi hayana hata tija kuliko gloves hospitali,Kweli CCM hawana akili
Well said mkuu!Nikuache tu, tutabishana mpaka asubuhi, bure ni dhambi kivipi, bure ipi, serikali kutoa elimu bure si dhambi na hiyo haiitwi bure, gesi ni ya tanzania, kodi kila mmoja anachangia kwanini iwe dhambi, jukumu la serikali ni lipi, iwe dhambi kwa afya na elimu bure ila isiwe dhambi wao ambao wanatembelea gari ya milioni 400 ambapo mtanzania anakunywa maji bwawa moja na ng'ombe!??
Kwako bure ni nini!?
Serikali tumewapa mamlaka ya kusimamia/kutusimamia sisi katika mambo kadha wa kadha, serikali iboreshe standard ya maisha ya mtanzania, barabara nzuri zijengwe, umeme usambae tanzania kote na upatikane kwa bei nzuri(tuna vyanzo vizuri, uzalishwe kwa wingi, mwingine uuzwe kile kinachopatikana kimneemeshe kila mtanzania) afya ni jambo la msingi mnoo.
Niko tofauti na mtazamo wako, haiwezekani kiongozi ambae anatumia kodi ya mtanzania, gari la bure, umeme bure, maji bure, matibabu bure, anasomeshewa watoto bure, analipwa mshahara, posho lukuki kisha atoe kauli za kishenzi na kipuuzi kama hizo.
Kuna watu wana hali tete, kama hivyo nao waishi kwa mishahara yao. Kuna namna mambo mnayanangalia kwa namna tofauti.
Chalamia kichwa yake inapata Moto.Hakuna kitu kama hiyo kujifungua hosptal zetu hizi ni bure na kushonwa msamba bila ganzi ni bure.
Wacha kodi zetu zihudumie kina mama ila si gloves ety ziwe 50k
Huyo Chalamila nae kichwa papai.
Kutazama sera( policy) inasemaje hii ndio approach nzuri ya kujadili hili suala la chalamila . Chalamila anapingana na sera ya serikali yake mwenyewe ambaye yeye ni kiongozi.
Bima ya 40k ? Phew!
SawaSababu zilikuwa zisizo na AKILI
Wangesema tuu gharama nafuu Kabisa
Huwezi kutoa bure alafu wewe ni nchi Maskini.
Kitendo cha kusema ni bure kinawabwetesha hata wale wenye uwezo wa Kutafuta pesa na kujihudumia
Sijui anakunywaga double kikiChalamia kichwa yake unapata Moto.
Mawenge mengi akiongea anatoa povu hovyo.
Sawa
Robert Heriel MtibeliKutazama sera( policy) inasemaje hii ndio approach nzuri ya kujadili hili suala la chalamila . Chalamila anapingana na sera ya serikali yake mwenyewe ambaye yeye ni kiongozi.
Wanaomtetea chalamila wanazingua. Kisiasa huu ni wakati wa kutumia silaha yoyote inayojitokeza kuiadhibu ccm. Hili la chalamila ni fursa nzuri ya kuiadhibu ccm kuonyesha madudu yao ambapo wameshindwa kutimiza sera walizoziandaa wenyewe au inaonekana kuna viongozi wengi ambao hawajui na hawafuati taratibu za sera zinavyoelekeza. Nchi haipaswi kuendeshwa kiholela holela tu.
Mpaka mtu anafikia hatua anakosa hiyo Tsh 50,000 huoni kama serikali imefeli kutimiza jukumu lake la kuhakikisha linajenga mazingira ya watu kupata riziki zao ? Tuiadhibu ccm kwa kuweka sera ambazo hazitekelezeki na kuishia kuwadanganya wananchi.Jukumu la serikali ni kuhakikisha linajenga mazingira ya watu Kupata riziki Zao na kutoa Kodi ili serikali iboreshe miundombinu ya huduma za kijamii.
Kama hauna uwezo wa kumkuza mtoto wako hivyo usizae jitafute kwanza tumia hata kondomu au kijiti.Wewe kwa kua ulikua kwa sabuni na uji wenye sukari unadhani watoto wote wanakua vivo hivyo?
😂😂😂EwwwwwKama hauna uwezo wa kumkuza mtoto wako hivyo usizae jitafute kwanza tumia hata kondomu au kijiti.