Chalamila yupo sahihi; kuna Bima ya elfu 40. Unajua Mkeo ni mjamzito, huna Pesa. Kata hata hiyo

Chalamila yupo sahihi; kuna Bima ya elfu 40. Unajua Mkeo ni mjamzito, huna Pesa. Kata hata hiyo

Rc kasema ukweli mchungu. Hakuna bure kabisa. Huju kwetu kliniki daily husisitiza kujiandaa dish, gloves, vitenge dot walau 2 mpya, nk tena wengine hadi huitisha ili wakague kama tayari vipo. Bure.
Kkkubwa tuanbiwe tu lazi.a kuchangia
 
Hiyo Sera haitekelezeki.

Kwa sababu zilizo dhahiri Kabisa.

Mimi naangalia ukweli wa Jambo siangalii siasa za kufurahisha kundi Fulani.

Nchi Maskini, asilimia 70 ya watu ni dependent kumaanisha hawana uwezo AA kulipa Direct tax, embu tuambie hizo pesa za kutoa huduma muhimu bure zinatoka wapi?

Tumia common sense tuu.

Alafu Wajawazito hawapo kwenye kundi maalumu yaani special Grupu.
Watu wanaotakiwa wapewe huduma bure ni Makundi yafuatayo;
1. Wazee kuanzia Miaka 60.
2. Watoto Yatima
3. Walemavu ambao ulemavu wao unawazuia kufanya shughuli za uzalishaji
Hao ndio Bure

Wengine wote wachangie hata kidogo.
 
Sababu zilikuwa zisizo na AKILI
Wangesema tuu gharama nafuu Kabisa

Huwezi kutoa bure alafu wewe ni nchi Maskini.

Kitendo cha kusema ni bure kinawabwetesha hata wale wenye uwezo wa Kutafuta pesa na kujihudumia
Wenye uwezo hawapeleki kwenye huduma ya bure, speaking from experience.
Hata wakienda Gov hospitals wanaenda kwa daktari bingwa kwa appointment. Wanapata huduma za private. Wanajifungulia ward private siyo za wote wale walala hoi.
Wanalipia pesa ndefu au wanatumia bima kubwa.
 
Rc kasema ukweli mchungu. Hakuna bure kabisa. Huju kwetu kliniki daily husisitiza kujiandaa dish, gloves, vitenge dot walau 2 mpya, nk tena wengine hadi huitisha ili wakague kama tayari vipo. Bure.
Kkkubwa tuanbiwe tu lazi.a kuchangia

Serikali ipige Marufuku viongozi wanaolaghai wananchi kwa kuongea mambo ambayo hayatekelezeki kwa nyakati HIZI
 
Kweli CCM hawana akili
Wakati wanawajibu hivyo wapiga kura wao nao wanashuhudia wajinga wa CCM wanavyo tumbua raha kwa kulipiwa posho ,hotel , na kusafirishwa kwa mambasi kwenda kupitisha mgombea aliye jipitisha mwenyewe , pia wanashuhudia mamilioni yanayo tapanywa kwa kununua magoli ya simba na yanga ambayo kimsingi hayana hata tija kuliko gloves hospitali,

Serikali inanunua magari ya milioni 600 wakati hospitali hakuna dawa wala gloves ,halafu tunapigiana kelele kuwa CCM ipo kwa ajili ya wananchi! Wananchi gani hao kama sio hawa hawa wanao kosa gloves hospitali halafu mnawambia wakapasuliwe na waume zao!? CCM bado inaongoza kwa mazoea wakati ulimwengu umesha badilika sana ndio maana bado wanaamini wasira anamchango kwa siasa za sasa mzee wa miaka 80 🤣🤣🤣 .NI UJINGA NA UKOMA MKUBWA SANA HUU ULIOPO NDANI YA CCM
 
Nikuache tu, tutabishana mpaka asubuhi, bure ni dhambi kivipi, bure ipi, serikali kutoa elimu bure si dhambi na hiyo haiitwi bure, gesi ni ya tanzania, kodi kila mmoja anachangia kwanini iwe dhambi, jukumu la serikali ni lipi, iwe dhambi kwa afya na elimu bure ila isiwe dhambi wao ambao wanatembelea gari ya milioni 400 ambapo mtanzania anakunywa maji bwawa moja na ng'ombe!??
Kwako bure ni nini!?
Serikali tumewapa mamlaka ya kusimamia/kutusimamia sisi katika mambo kadha wa kadha, serikali iboreshe standard ya maisha ya mtanzania, barabara nzuri zijengwe, umeme usambae tanzania kote na upatikane kwa bei nzuri(tuna vyanzo vizuri, uzalishwe kwa wingi, mwingine uuzwe kile kinachopatikana kimneemeshe kila mtanzania) afya ni jambo la msingi mnoo.

Niko tofauti na mtazamo wako, haiwezekani kiongozi ambae anatumia kodi ya mtanzania, gari la bure, umeme bure, maji bure, matibabu bure, anasomeshewa watoto bure, analipwa mshahara, posho lukuki kisha atoe kauli za kishenzi na kipuuzi kama hizo.
Kuna watu wana hali tete, kama hivyo nao waishi kwa mishahara yao. Kuna namna mambo mnayanangalia kwa namna tofauti.
Well said mkuu!
 
Hakuna kitu kama hiyo kujifungua hosptal zetu hizi ni bure na kushonwa msamba bila ganzi ni bure.
Wacha kodi zetu zihudumie kina mama ila si gloves ety ziwe 50k

Huyo Chalamila nae kichwa papai.
Chalamia kichwa yake inapata Moto.
Mawenge mengi akiongea anatoa povu hovyo.
 
Kutazama sera( policy) inasemaje hii ndio approach nzuri ya kujadili hili suala la chalamila . Chalamila anapingana na sera ya serikali yake mwenyewe ambaye yeye ni kiongozi.

Wanaomtetea chalamila wanazingua. Kisiasa huu ni wakati wa kutumia silaha yoyote inayojitokeza kuiadhibu ccm. Hili la chalamila ni fursa nzuri ya kuiadhibu ccm kuonyesha madudu yao ambapo wameshindwa kutimiza sera walizoziandaa wenyewe au inaonekana kuna viongozi wengi ambao hawajui na hawafuati taratibu za sera zinavyoelekeza. Nchi haipaswi kuendeshwa kiholela holela tu.
 
Umaskini upo lakini Moja ya mbinu ya kukabiliana nayo ni kuwapa watu majukumu, kuhakikisha wanatimiza majukumu na wajibu wao na sio kuwasaidia majukumu au wajibu.

Jukumu la serikali ni kuhakikisha linajenga mazingira ya watu Kupata riziki Zao na kutoa Kodi ili serikali iboreshe miundombinu ya huduma za kijamii.

Sasa kwa taifa lenye watu tegemezi wengi zaidi ya asilimia 70 ulete Sera za bure, si umelimaliza Kabisa
 
Sijajua hili neno "BURE" watanzania baadhi wenye ufinyu wa akili wana litafsiri vipi yani ???
 
Kutazama sera( policy) inasemaje hii ndio approach nzuri ya kujadili hili suala la chalamila . Chalamila anapingana na sera ya serikali yake mwenyewe ambaye yeye ni kiongozi.

Wanaomtetea chalamila wanazingua. Kisiasa huu ni wakati wa kutumia silaha yoyote inayojitokeza kuiadhibu ccm. Hili la chalamila ni fursa nzuri ya kuiadhibu ccm kuonyesha madudu yao ambapo wameshindwa kutimiza sera walizoziandaa wenyewe au inaonekana kuna viongozi wengi ambao hawajui na hawafuati taratibu za sera zinavyoelekeza. Nchi haipaswi kuendeshwa kiholela holela tu.
Robert Heriel Mtibeli
 
Jukumu la serikali ni kuhakikisha linajenga mazingira ya watu Kupata riziki Zao na kutoa Kodi ili serikali iboreshe miundombinu ya huduma za kijamii.
Mpaka mtu anafikia hatua anakosa hiyo Tsh 50,000 huoni kama serikali imefeli kutimiza jukumu lake la kuhakikisha linajenga mazingira ya watu kupata riziki zao ? Tuiadhibu ccm kwa kuweka sera ambazo hazitekelezeki na kuishia kuwadanganya wananchi.
 
Kama hauna uwezo wa kumkuza mtoto wako hivyo usizae jitafute kwanza tumia hata kondomu au kijiti.
😂😂😂Ewwwww
Kwa hiyo unanifundisha kupanga uzazi tena.
😂😂😂Tena kijiti
 
Back
Top Bottom