Chalamila yupo sahihi; kuna Bima ya elfu 40. Unajua Mkeo ni mjamzito, huna Pesa. Kata hata hiyo

Acheni kujipa umuhimu fanyeni kazi hakuna mwananchi wa kawaida wala asiye wa kawaida.

Nyie maskini mnajiendekeza sana.Na mnadanganywa sana na wanasiasa.

📌📌📌Hii dunia hakuna cha bure,amka toka usingizini!!!
 
acheni mentality ya KIJAMAA mtapiga hatua.

wakati unabanjuka juu utamu uliusika pekeako.Sasa muda wa kugaramia utamu wako milio imekuwa mingi😁😁😁

📌watanzania jifunzeni kuwajibika!!!
 
Unafahamu kuna watu wametelekezwa na mimba na hata kula yao ya siku ni mtihani?
kama huyo aliyetelekezwa alibakwa sawa ila kama alipanua mapaja mwenyewe hana haki ya kupata huduma bure!!!

📌Watanzania mjifunze kuwajibika,hii dunia hakuna cha bure!!!
 
📌📌📌Fanyeni kazi hakuna cha bure hapa duniani,mnajiendekeza sana!!!

#Kama mtu hana uwezo wa kubeba majukumu afunge kizazi!!!
 
Kama mtu 50,000 imemshinda ataweza kumnunulia mtoto pampers na kumpatia lishe bora?
Ni huzuni na hao ndo wanatuletea vibaka,malaya,majambazi,wavuta bange,mawinga,madalali, nk.

📌WATAZANIA WAJIFUNZE KUWAJIBIKA,CONDOM NI BURE SIDHANI KUNA HAJA YA HAYA MAKELELE!!!
 
kama alibakwa sawa ila kama alipanua mapaje mwenyewe hana haki ya kupata huduma bure!!!

📌Watanzania mjifunze kuwajibika,hii dunia hakuna cha bure!!!
Kwa hiyo, wahudumu watatambuaje huyu alibakwa na huyu alipata kwa hiari?
Na je, kuna huduma ya bure kwa waliobakwa?
 
nimeona kuna changamoto kubwa ya awareness kwa watanzania
vitu vipo ila kujua ndio shida
jamaa yangu mmoja ana bima ya Nssf yake na familia yake nimejua hicho kitu kipo 2020
watanzania wanajua mambo ya simba na yanga ila mambo ya msingi wanalilia serikali.Maajabu hayaishi duniani.

📌KAMA MTU HANA UWEZO WA KUHUDUMIA,ATUMIE CONDOM!!!
 
Mbona zanzibar wameweza watu wanatibiwa bure bhana kwa kitu gani walichonacho wazenji walichotuzidi watanganyika? Idara ya afya ifumuliwe kuna upigaji.
 
Mbona zanzibar wameweza watu wanatibiwa bure bhana kwa kitu gani walichonacho wazenji walichotuzidi watanganyika? Idara ya afya ifumuliwe kuna upigaji.
📌📌📌Haya ndo maswali ya msingi watanzania walitakiwa kuuliza ila watanzania wamejikita kwenye simba na yanga.Lazima kiwarambe!!!
 
nenda kabakwe kisha uwende huko kwa wahudumu,alafu watakwambia umebakwa au hujabakwa🤝
Asubuhi kama hii akili ikiwa na utulivu, wewe akili yako imejaa matusi.
Jua likiwaka si huwa unatembea uchi wewe maaluni wa kizazi kipya?
 
Kuna umuhimu wa serikali kurudisha kampeni ya uzazi wa mpango(nyota ya kijani) na kusisitiza uzazi wa mpango kwa raia.
kwa mtu mwenye akili timamu anatakiwa ajifanyie evaluation bila msukumo wowote ajiangalie yeye wapi anaweza kujikuna.

📌Ikiwa Kila kitu wananchi wanasubiri serikali ifanye ndo hivyo inatengenezwa jamii isiyokuwa na uwajibikaji!!!
 
Asubuhi kama hii akili ikiwa na utulivu, wewe akili yako imejaa matusi.
Jua likiwaka si huwa unatembea uchi wewe maaluni wa kizazi kipya?
MASKINI WEWE NENDA KAFANYE KAZI,ACHA KULIALIA HOVYO.KAMA HUNA HELA FUNGA KIZAZI!!!

SERIKALI INAMAMBO MENGI YA KUFANYA.
 
Tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende yaani jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka taka wewe, Ina sasa wanasiasa wanahangaika kujitetea hadi wanakosea
 
Hakuwa na haja ya kujitetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…