Chalamila yupo sahihi; kuna Bima ya elfu 40. Unajua Mkeo ni mjamzito, huna Pesa. Kata hata hiyo

Chalamila yupo sahihi; kuna Bima ya elfu 40. Unajua Mkeo ni mjamzito, huna Pesa. Kata hata hiyo

Mkuu una uhakika nchi yetu maskini? Sidhani kama ni maskini. Binafsi nadhani ni usimamizi wetu hafifu au mbovu katika kusimamia rasilimali zetu hasa za asili [madini, gasi,mazao n.k ] na hivyo kushindwa linda au jenga uchumi wa mwananchi wa kawaida. Embu jiulize uchumi wa wa Tanzania umehodhiwa na kina nani kwa asilimia kubwa? Anzia visiwani mpaka upande wa bara, utaniambia. Jambo lingine ni vipaumbele. Hatujaweka vipaumbele baadhi ya mambo au tumeweka lakini hatutimilizi hivi vipaumbele, ndo maana utaenda taasisi ya serikari utakosa huduma sababu, hela haijapelekwa. Hivi mbona hela za kufanya issues ambazo mwananchi wa kawaida hafaidiki nazo mbona zinapatikana na wanaozifuja hwajali wala kuwaonea huruma hawa wanaohangaika zaidi ya kutaka wawachague?
Acheni kujipa umuhimu fanyeni kazi hakuna mwananchi wa kawaida wala asiye wa kawaida.


Nyie maskini mnajiendekeza sana.Na mnadanganywa sana na wanasiasa.

📌📌📌Hii dunia hakuna cha bure,amka toka usingizini!!!
 
Kwamba huduma bure ni wehu, hapana tunakuwa na ujinga fulani, ni kwamba haiwezekani ama shida nini

Heka moja elfu 30 mpaka 40, sawa tufanye 40, heka moja mtu mmoja anailima kwa siku ngapi, jiulize kwa siku kaingiza sh ngapi? Jiulize hiyo pesa inamtosha kwa chakula, mavazi na vitu vingine, serikali haijitambui, viongozi wabinafsi, kuna mataifa yanaweza sisi kwanini tushimdwe, kwa tanzania hii inawezekana, kifupi tu viongozi wetu ndio wabaya wetu, nimetembea nimeona kuna watanzania hawajimudu hata kwa hiyo 40 ya pamoja.
acheni mentality ya KIJAMAA mtapiga hatua.

wakati unabanjuka juu utamu uliusika pekeako.Sasa muda wa kugaramia utamu wako milio imekuwa mingi😁😁😁

📌watanzania jifunzeni kuwajibika!!!
 
Unafahamu kuna watu wametelekezwa na mimba na hata kula yao ya siku ni mtihani?
kama huyo aliyetelekezwa alibakwa sawa ila kama alipanua mapaja mwenyewe hana haki ya kupata huduma bure!!!

📌Watanzania mjifunze kuwajibika,hii dunia hakuna cha bure!!!
 
Sipo hapa kujadili sababu za watu kutungishana mimba.
Hoja yangu ni kwenye uwezekano wa watu kukosa elfu 50. Na pia, uzembe wa serikali kushindwa kufikisha huduma za afya ipaswavyo.

___

Kuhusu hoja yako ya sababu za masikini kuzaliana, tafiti mwenyeweni kwa nini hata katika nchi zenye vita ama wakimbizi wanaendeleana kupeana mimba hata katikati ya masaibu.
📌📌📌Fanyeni kazi hakuna cha bure hapa duniani,mnajiendekeza sana!!!


#Kama mtu hana uwezo wa kubeba majukumu afunge kizazi!!!
 
Kama mtu 50,000 imemshinda ataweza kumnunulia mtoto pampers na kumpatia lishe bora?
Ni huzuni na hao ndo wanatuletea vibaka,malaya,majambazi,wavuta bange,mawinga,madalali, nk.


📌WATAZANIA WAJIFUNZE KUWAJIBIKA,CONDOM NI BURE SIDHANI KUNA HAJA YA HAYA MAKELELE!!!
 
kama alibakwa sawa ila kama alipanua mapaje mwenyewe hana haki ya kupata huduma bure!!!

📌Watanzania mjifunze kuwajibika,hii dunia hakuna cha bure!!!
Kwa hiyo, wahudumu watatambuaje huyu alibakwa na huyu alipata kwa hiari?
Na je, kuna huduma ya bure kwa waliobakwa?
 
nimeona kuna changamoto kubwa ya awareness kwa watanzania
vitu vipo ila kujua ndio shida
jamaa yangu mmoja ana bima ya Nssf yake na familia yake nimejua hicho kitu kipo 2020
watanzania wanajua mambo ya simba na yanga ila mambo ya msingi wanalilia serikali.Maajabu hayaishi duniani.

📌KAMA MTU HANA UWEZO WA KUHUDUMIA,ATUMIE CONDOM!!!
 
Mbona zanzibar wameweza watu wanatibiwa bure bhana kwa kitu gani walichonacho wazenji walichotuzidi watanganyika? Idara ya afya ifumuliwe kuna upigaji.
 
Mbona zanzibar wameweza watu wanatibiwa bure bhana kwa kitu gani walichonacho wazenji walichotuzidi watanganyika? Idara ya afya ifumuliwe kuna upigaji.
📌📌📌Haya ndo maswali ya msingi watanzania walitakiwa kuuliza ila watanzania wamejikita kwenye simba na yanga.Lazima kiwarambe!!!
 
nenda kabakwe kisha uwende huko kwa wahudumu,alafu watakwambia umebakwa au hujabakwa🤝
Asubuhi kama hii akili ikiwa na utulivu, wewe akili yako imejaa matusi.
Jua likiwaka si huwa unatembea uchi wewe maaluni wa kizazi kipya?
 
Kuna umuhimu wa serikali kurudisha kampeni ya uzazi wa mpango(nyota ya kijani) na kusisitiza uzazi wa mpango kwa raia.
kwa mtu mwenye akili timamu anatakiwa ajifanyie evaluation bila msukumo wowote ajiangalie yeye wapi anaweza kujikuna.

📌Ikiwa Kila kitu wananchi wanasubiri serikali ifanye ndo hivyo inatengenezwa jamii isiyokuwa na uwajibikaji!!!
 
Asubuhi kama hii akili ikiwa na utulivu, wewe akili yako imejaa matusi.
Jua likiwaka si huwa unatembea uchi wewe maaluni wa kizazi kipya?
MASKINI WEWE NENDA KAFANYE KAZI,ACHA KULIALIA HOVYO.KAMA HUNA HELA FUNGA KIZAZI!!!

SERIKALI INAMAMBO MENGI YA KUFANYA.
 
Kwema Wakuu!

Chalamila hapa nitamtaja kama Mhusika bila kuhusisha cheo chake. Ni aina ha watu ambao hawana breki za kuongea na watu wa aina hii mara nyingi huongeaga UKWELI mchungu ambao wakati mwingine huweza kuwaacha watu mdomo wazi.

Chalamila kadiri unavyompa nafasi na Muda WA kuongea ndivyo anavyoweza Kuropoka mambo ambayo ni magumu. Kwa Sisi tunaojua watu aina yake hatuwapagi nafasi Sana ya kuongea au kuwauliza maswali Tata ambayo yatamfanya ajichie.

Chalamila ni kama Kina Tundu Lisu. Tofauti Yao ni Moja. Mmoja anajua kujenga hoja wakati mwingine hawezi kujenga hoja ila wote wanaweza kuwa wanasema ukweli uleule wa Jambo lilelile.

Wasema ukweli mara nyingi hawanaga Staha. Hiyo huwafanya kuitwa roporopo.

Tukirudi kwenye hoja ya Chalamila kuhusu Wajawazito. Yupo sahihi Kabisa

Serikali sio kama imeweza Kabisa lakini angalau inajaribu kujitahidi Kusaidia watu hasa watu wa chini ingawaje zipo changamoto za kiutendaji na kifedha.

Kuna Bima ya CHF kama sijakosea ambayo kwa mwaka ni elfu 40,
Mambo inayotibu Bima hii ni Magonjwa ya kawaida yote.
Ujauzito
Ultrasound
X-ray
Kujifungua na Upasuaji mdogo
N.k.

Hivi mtu unajua Kabisa unaenda kuzaa mtoto au umembebesha Mimba Binti au Mkeo. Kwa nini usiweke angalau kwa siku elfu Moja Miatano kwa siku kisha mwisho wa mwezi wa Kwanza wa Ile Mimba ukate Bima ya elfu 40 kwaajili ya kumsaidia Mkeo au huyo uliyempa Mimba

Au kama umetelekezwa, sio sababu ya kukosa Bima ya elfu 40 kwa Sababusiku hizi Fursa za uzalishaji na kujipatia kipato ni Haki Sawa baina ya Mwanaume na mwanamke. Nikimaanisha huna haja ya kumtegemea Mumeo au mwanaume wakati Fursa zimetolewa Sawa.

Kata Bima ya elfu 40 kwaajili yako kama mwanamke mjamzito.

Na sio kulialia kumtafutia mtu Lawama kwa Jambo linalokuhusu mwenyewe ambalo umerahisishiwa.

Mambo ya huruma huruma, burebure ndio yanaharibu jamii.

Tunajua nchi yetu ni Maskini na jamii zetu nyingi ni Maskini ndio maana serikali kwa sehemu nayo imerahisisha kwa upande wao. Sasa mwaka mzima ushindwe Kutafuta elfu 40 ulipie Bima ati utake serikali ikuhudumie. Huo kama sio Ukengemaji ni nini?

Chukua Bima ya 40 Kisha andaa pesa ya kujifungulia ya dharura na ya uzazi
Hayo ndio majukumu yenyewe. Pumbavu.

Tupo kwa ajili ya wengi wenye kuhitaji msaada wanaoustahili

Tupo hapa

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende yaani jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka taka wewe, Ina sasa wanasiasa wanahangaika kujitetea hadi wanakosea
 
Tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende yaani jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka taka wewe, Ina sasa wanasiasa wanahangaika kujitetea hadi wanakosea

Hakuwa na haja ya kujitetea
 
Back
Top Bottom