Acheni kujipa umuhimu fanyeni kazi hakuna mwananchi wa kawaida wala asiye wa kawaida.Mkuu una uhakika nchi yetu maskini? Sidhani kama ni maskini. Binafsi nadhani ni usimamizi wetu hafifu au mbovu katika kusimamia rasilimali zetu hasa za asili [madini, gasi,mazao n.k ] na hivyo kushindwa linda au jenga uchumi wa mwananchi wa kawaida. Embu jiulize uchumi wa wa Tanzania umehodhiwa na kina nani kwa asilimia kubwa? Anzia visiwani mpaka upande wa bara, utaniambia. Jambo lingine ni vipaumbele. Hatujaweka vipaumbele baadhi ya mambo au tumeweka lakini hatutimilizi hivi vipaumbele, ndo maana utaenda taasisi ya serikari utakosa huduma sababu, hela haijapelekwa. Hivi mbona hela za kufanya issues ambazo mwananchi wa kawaida hafaidiki nazo mbona zinapatikana na wanaozifuja hwajali wala kuwaonea huruma hawa wanaohangaika zaidi ya kutaka wawachague?
Nyie maskini mnajiendekeza sana.Na mnadanganywa sana na wanasiasa.
📌📌📌Hii dunia hakuna cha bure,amka toka usingizini!!!