kimbomba25
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,160
- 2,117
Huu ushauri mpelekee aliyekuzaa ili asiendelee kuzaa watoto wenye wajinga kama wewe!MASKINI WEWE NENDA KAFANYE KAZI,ACHA KULIALIA HOVYO.KAMA HUNA HELA FUNGA KIZAZI!!!
SERIKALI INAMAMBO MENGI YA KUFANYA.
rubbishKwema Wakuu!
Chalamila hapa nitamtaja kama Mhusika bila kuhusisha cheo chake. Ni aina ha watu ambao hawana breki za kuongea na watu wa aina hii mara nyingi huongeaga UKWELI mchungu ambao wakati mwingine huweza kuwaacha watu mdomo wazi.
Chalamila kadiri unavyompa nafasi na Muda WA kuongea ndivyo anavyoweza Kuropoka mambo ambayo ni magumu. Kwa Sisi tunaojua watu aina yake hatuwapagi nafasi Sana ya kuongea au kuwauliza maswali Tata ambayo yatamfanya ajichie.
Chalamila ni kama Kina Tundu Lisu. Tofauti Yao ni Moja. Mmoja anajua kujenga hoja wakati mwingine hawezi kujenga hoja ila wote wanaweza kuwa wanasema ukweli uleule wa Jambo lilelile.
Wasema ukweli mara nyingi hawanaga Staha. Hiyo huwafanya kuitwa roporopo.
Tukirudi kwenye hoja ya Chalamila kuhusu Wajawazito. Yupo sahihi Kabisa
Serikali sio kama imeweza Kabisa lakini angalau inajaribu kujitahidi Kusaidia watu hasa watu wa chini ingawaje zipo changamoto za kiutendaji na kifedha.
Kuna Bima ya CHF kama sijakosea ambayo kwa mwaka ni elfu 40,
Mambo inayotibu Bima hii ni Magonjwa ya kawaida yote.
Ujauzito
Ultrasound
X-ray
Kujifungua na Upasuaji mdogo
N.k.
Hivi mtu unajua Kabisa unaenda kuzaa mtoto au umembebesha Mimba Binti au Mkeo. Kwa nini usiweke angalau kwa siku elfu Moja Miatano kwa siku kisha mwisho wa mwezi wa Kwanza wa Ile Mimba ukate Bima ya elfu 40 kwaajili ya kumsaidia Mkeo au huyo uliyempa Mimba
Au kama umetelekezwa, sio sababu ya kukosa Bima ya elfu 40 kwa Sababusiku hizi Fursa za uzalishaji na kujipatia kipato ni Haki Sawa baina ya Mwanaume na mwanamke. Nikimaanisha huna haja ya kumtegemea Mumeo au mwanaume wakati Fursa zimetolewa Sawa.
Kata Bima ya elfu 40 kwaajili yako kama mwanamke mjamzito.
Na sio kulialia kumtafutia mtu Lawama kwa Jambo linalokuhusu mwenyewe ambalo umerahisishiwa.
Mambo ya huruma huruma, burebure ndio yanaharibu jamii.
Tunajua nchi yetu ni Maskini na jamii zetu nyingi ni Maskini ndio maana serikali kwa sehemu nayo imerahisisha kwa upande wao. Sasa mwaka mzima ushindwe Kutafuta elfu 40 ulipie Bima ati utake serikali ikuhudumie. Huo kama sio Ukengemaji ni nini?
Chukua Bima ya 40 Kisha andaa pesa ya kujifungulia ya dharura na ya uzazi
Hayo ndio majukumu yenyewe. Pumbavu.
Tupo kwa ajili ya wengi wenye kuhitaji msaada wanaoustahili
Tupo hapa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Hilo ni tatizo lingine tofauti.Unaweza ukawa na bima lakini ukaendelea kuzungushwa pia
Nimemshangaa sana huyo bwege, yaani badala ya kutupa taarifa ya anachotaka kusema hata Kwa kutumia mfano Mmoja kuhusiana na hicho kipindi, yeye anatupa Tena assignment ya sisi kwenda kuitafuta hicho kipindi Chake kisha turudi hapa JF ndio tuelewe hoja yake.Acha kuadvertise radio na vipindi vya watu. Toa hoja yako ueleweke.
Akili huna kabisa, inaonekana una exposure ndogo sana ya maisha na hujaijua jamii nzima ya kitanzania in and out ikoje, na ndio maana unatoa majibu Rahisi rahisi bila kushirikisha ubongo hata kidogo.Hao watu hawana hata ndugu, marafiki au wameshindwa kwenda hata ustawi wa jamii na mashirika mengine?
Ona Sasa halafu mpaka leo Bado ni RC?Huyu RC aliwahi kusema kama huna uwezo wa kuvuka kigamboni piga mbizi
Binafsi Mimi Sina tatizo na wagonjwa/wahudimiwa kuchangia kidogo gharama za matibabu, lakini je wanatakiwa wachangie Kwa wakati sahihi ambapo ni baada ya wao kupata huduma.Huduma kwa mama mjamzito ni bure, Serikali kama haiwezi iseme. Hadi huduma za mama na mtoto zinawashinda, aibu iliyoje.
Mkuu naona unafanya attacks zisizo na msingi. Nani amekwambia me sifangi kazi au nashindwa hudumia familia yangu. Hapa siongelei umimi. Ninaongelea nafasi ya pili na ya tatu ambayo wewe na mimi tunajua, wapo watu wana changamoto kiuchumi.Acheni kujipa umuhimu fanyeni kazi hakuna mwananchi wa kawaida wala asiye wa kawaida.
Nyie maskini mnajiendekeza sana.Na mnadanganywa sana na wanasiasa.
📌📌📌Hii dunia hakuna cha bure,amka toka usingizini!!!
Mkuu huku mtaani kwetu kuna vyama vidogo vidogo vya wamama ambao wanasaidiana endapo mwenzao kapatwa na tatizo sasa kama hakuwepo kwenye kikundi hata kimoja hilo ni tatizo lake. Halafu mtu kama ni masikini unaruhusuje kubeba mimba.Akili huna kabisa, inaonekana una exposure ndogo sana ya maisha na hujaijua jamii nzima ya kitanzania in and out ikoje, na ndio maana unatoa majibu Rahisi rahisi bila kushirikisha ubongo hata kidogo.
Lakini ikija harusi anatafuta elfu hamsini ya mchango .. hiyo arubaini kwa ajili ya mkewe sio kipaumbele kwakeRobert Heriel Mtibeli
Huenda haujui Umasikini au umekuzwa katika mfumo wa mafanikio acha nikae kimya.
Bima ya elfu 40 ina cover kujifungua?Ukikata hiyo ya 40, ndani ya wiki mbili inafanya Kazi.
Hivyo kama Mwanamke atagundua ni mjamzito ule mwezi wa Kwanza anaweza kukata kisha first trimester anaanza Kliniki Akiwa na Bima. Anakula Raha za Mimba bila stress za kuwaza itakuwaje
Hao unaowasema wanatoa mchango wa elfu 50, sio hao walioshindwa kulipa bima, tukubali hii nchi ina umaskini wa kutupa, tembeeni muone acheni kuangalia mambo kwenye maeneo yenu mnayoishi,Lakini ikija harusi anatafuta elfu hamsini ya mchango .. hiyo arubaini kwa ajili ya mkewe sio kipaumbele kwake
Bima ya elfu 40 ina cover kujifungua?
Tuwekee hapa sera za hiyo Bima mbona unaruka ruka tu huweki ushahidi?
Watu wanapenda mitelezo sana ,wanataka hadi serikali impe hela ya nauli ya kwenda hospital ,magufuli alivyosema elimu bure wazazi wakataka hadi Uniform na madaftari wanunuliwe na Magufuli.Kwema Wakuu!
Chalamila hapa nitamtaja kama Mhusika bila kuhusisha cheo chake. Ni aina ha watu ambao hawana breki za kuongea na watu wa aina hii mara nyingi huongeaga UKWELI mchungu ambao wakati mwingine huweza kuwaacha watu mdomo wazi.
Chalamila kadiri unavyompa nafasi na Muda WA kuongea ndivyo anavyoweza Kuropoka mambo ambayo ni magumu. Kwa Sisi tunaojua watu aina yake hatuwapagi nafasi Sana ya kuongea au kuwauliza maswali Tata ambayo yatamfanya ajichie.
Chalamila ni kama Kina Tundu Lisu. Tofauti Yao ni Moja. Mmoja anajua kujenga hoja wakati mwingine hawezi kujenga hoja ila wote wanaweza kuwa wanasema ukweli uleule wa Jambo lilelile.
Wasema ukweli mara nyingi hawanaga Staha. Hiyo huwafanya kuitwa roporopo.
Tukirudi kwenye hoja ya Chalamila kuhusu Wajawazito. Yupo sahihi Kabisa
Serikali sio kama imeweza Kabisa lakini angalau inajaribu kujitahidi Kusaidia watu hasa watu wa chini ingawaje zipo changamoto za kiutendaji na kifedha.
Kuna Bima ya CHF kama sijakosea ambayo kwa mwaka ni elfu 40,
Mambo inayotibu Bima hii ni Magonjwa ya kawaida yote.
Ujauzito
Ultrasound
X-ray
Kujifungua na Upasuaji mdogo
N.k.
Hivi mtu unajua Kabisa unaenda kuzaa mtoto au umembebesha Mimba Binti au Mkeo. Kwa nini usiweke angalau kwa siku elfu Moja Miatano kwa siku kisha mwisho wa mwezi wa Kwanza wa Ile Mimba ukate Bima ya elfu 40 kwaajili ya kumsaidia Mkeo au huyo uliyempa Mimba
Au kama umetelekezwa, sio sababu ya kukosa Bima ya elfu 40 kwa Sababusiku hizi Fursa za uzalishaji na kujipatia kipato ni Haki Sawa baina ya Mwanaume na mwanamke. Nikimaanisha huna haja ya kumtegemea Mumeo au mwanaume wakati Fursa zimetolewa Sawa.
Kata Bima ya elfu 40 kwaajili yako kama mwanamke mjamzito.
Na sio kulialia kumtafutia mtu Lawama kwa Jambo linalokuhusu mwenyewe ambalo umerahisishiwa.
Mambo ya huruma huruma, burebure ndio yanaharibu jamii.
Tunajua nchi yetu ni Maskini na jamii zetu nyingi ni Maskini ndio maana serikali kwa sehemu nayo imerahisisha kwa upande wao. Sasa mwaka mzima ushindwe Kutafuta elfu 40 ulipie Bima ati utake serikali ikuhudumie. Huo kama sio Ukengemaji ni nini?
Chukua Bima ya 40 Kisha andaa pesa ya kujifungulia ya dharura na ya uzazi
Hayo ndio majukumu yenyewe. Pumbavu.
Tupo kwa ajili ya wengi wenye kuhitaji msaada wanaoustahili
Tupo hapa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Hao unaowasema wanatoa mchango wa elfu 50, sio hao walioshindwa kulipa bima, tukubali hii nchi ina umaskini wa kutupa, tembeeni muone acheni kuangalia mambo kwenye maeneo yenu mnayoishi,
Nasisitiza tena ITEMBEENI NCHI YENU MJIONEE UMASKINI ULIOPO.
Watu wanapenda mitelezo sana ,wanataka hadi serikali impe hela ya nauli ya kwenda hospital ,magufuli alivyosema elimu bure wazazi wakataka hadi Uniform na madaftari wanunuliwe na Magufuli.
Kwenda kujifungua kuna maandalizi ya khanga,pamba ,gloves etc hizo anakuja nazo kutoka nyumbani hazitolewi na serikali ,Chalamila yupo sahihi....Unapofisikia kujifungua bure ni services ya hospitali kama wataalamu,umeme,kitanda etc na si gloves/pamba/khanga nazo unataka serikali ikununulie,mwisho wa siku utaomba hadi serikali ikulipie gharama za usafiri wa kukurudisha nyumbani.