Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuache tu, tutabishana mpaka asubuhi, bure ni dhambi kivipi, bure ipi, serikali kutoa elimu bure si dhambi na hiyo haiitwi bure, gesi ni ya tanzania, kodi kila mmoja anachangia kwanini iwe dhambi, jukumu la serikali ni lipi, iwe dhambi kwa afya na elimu bure ila isiwe dhambi wao ambao wanatembelea gari ya milioni 400 ambapo mtanzania anakunywa maji bwawa moja na ng'ombe!??Sisi wapenda Haki. Bure ni dhambi. Kitu chochote lazima ugharamike. Hiyo ni Moja.
Ndio maana Mungu Mkuu tunayemuabudu licha ya kuwa sio mhitaji lakini anatutaka tukienda kwake tusiende Mikono mitupu.
Kwa Sisi Watibeli, huo ni Wehu
Ubaya wa viongozi wetu unatokana na kushindwa kuwajenga watu wawe na minute ya kujitegemea(falsafa ya Nyerere)
Ingawaje Sera ya Elimu inataka watu wakimaliza shule waweze kuwa na uwezo wa kujitegemea. Ukishakuwa na uwezo wa kujitegemea huwezipendelea mambo ya burebure
Gloves 50000tsh ni gloves za mwanakondoo hizoKwema Wakuu!
Chalamila hapa nitamtaja kama Mhusika bila kuhusisha cheo chake. Ni aina ha watu ambao hawana breki za kuongea na watu wa aina hii mara nyingi huongeaga UKWELI mchungu ambao wakati mwingine huweza kuwaacha watu mdomo wazi.
Chalamila kadiri unavyompa nafasi na Muda WA kuongea ndivyo anavyoweza Kuropoka mambo ambayo ni magumu. Kwa Sisi tunaojua watu aina yake hatuwapagi nafasi Sana ya kuongea au kuwauliza maswali Tata ambayo yatamfanya ajichie.
Chalamila ni kama Kina Tundu Lisu. Tofauti Yao ni Moja. Mmoja anajua kujenga hoja wakati mwingine hawezi kujenga hoja ila wote wanaweza kuwa wanasema ukweli uleule wa Jambo lilelile.
Wasema ukweli mara nyingi hawanaga Staha. Hiyo huwafanya kuitwa roporopo.
Tukirudi kwenye hoja ya Chalamila kuhusu Wajawazito. Yupo sahihi Kabisa
Serikali sio kama imeweza Kabisa lakini angalau inajaribu kujitahidi Kusaidia watu hasa watu wa chini ingawaje zipo changamoto za kiutendaji na kifedha.
Kuna Bima ya CHF kama sijakosea ambayo kwa mwaka ni elfu 40,
Mambo inayotibu Bima hii ni Magonjwa ya kawaida yote.
Ujauzito
Ultrasound
X-ray
Kujifungua na Upasuaji mdogo
N.k.
Hivi mtu unajua Kabisa unaenda kuzaa mtoto au umembebesha Mimba Binti au Mkeo. Kwa nini usiweke angalau kwa siku elfu Moja Miatano kwa siku kisha mwisho wa mwezi wa Kwanza wa Ile Mimba ukate Bima ya elfu 40 kwaajili ya kumsaidia Mkeo au huyo uliyempa Mimba
Au kama umetelekezwa, sio sababu ya kukosa Bima ya elfu 40 kwa Sababusiku hizi Fursa za uzalishaji na kujipatia kipato ni Haki Sawa baina ya Mwanaume na mwanamke. Nikimaanisha huna haja ya kumtegemea Mumeo au mwanaume wakati Fursa zimetolewa Sawa.
Kata Bima ya elfu 40 kwaajili yako kama mwanamke mjamzito.
Na sio kulialia kumtafutia mtu Lawama kwa Jambo linalokuhusu mwenyewe ambalo umerahisishiwa.
Mambo ya huruma huruma, burebure ndio yanaharibu jamii.
Tunajua nchi yetu ni Maskini na jamii zetu nyingi ni Maskini ndio maana serikali kwa sehemu nayo imerahisisha kwa upande wao. Sasa mwaka mzima ushindwe Kutafuta elfu 40 ulipie Bima ati utake serikali ikuhudumie. Huo kama sio Ukengemaji ni nini?
Chukua Bima ya 40 Kisha andaa pesa ya kujifungulia ya dharura na ya uzazi
Hayo ndio majukumu yenyewe. Pumbavu.
Tupo kwa ajili ya wengi wenye kuhitaji msaada wanaoustahili
Tupo hapa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
👎👎👎Kama unajua yotee haya na unajijua wewe masikini KWANINI UBEBE MIMBA?
Unabeba mimba ukimtafutia nani shida sasa??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nikuache tu, tutabishana mpaka asubuhi, bure ni dhambi kivipi, bure ipi, serikali kutoa elimu bure si dhambi na hiyo haiitwi bure, gesi ni ya tanzania, kodi kila mmoja anachangia kwanini iwe dhambi, jukumu la serikali ni lipi, iwe dhambi kwa afya na elimu bure ila isiwe dhambi wao ambao wanatembelea gari ya milioni 400 ambapo mtanzania anakunywa maji bwawa moja na ng'ombe!??
Kwako bure ni nini!?
Serikali tumewapa mamlaka ya kusimamia/kutusimamia sisi katika mambo kadha wa kadha, serikali iboreshe standard ya maisha ya mtanzania, barabara nzuri zijengwe, umeme usambae tanzania kote na upatikane kwa bei nzuri(tuna vyanzo vizuri, uzalishwe kwa wingi, mwingine uuzwe kile kinachopatikana kimneemeshe kila mtanzania) afya ni jambo la msingi mnoo.
Niko tofauti na mtazamo wako, haiwezekani kiongozi ambae anatumia kodi ya mtanzania, gari la bure, umeme bure, maji bure, matibabu bure, anasomeshewa watoto bure, analipwa mshahara, posho lukuki kisha atoe kauli za kishenzi na kipuuzi kama hizo.
Kuna watu wana hali tete, kama hivyo nao waishi kwa mishahara yao. Kuna namna mambo mnayanangalia kwa namna tofauti.
Gloves 50000tsh ni gloves za mwanakondoo hizo
Serikali ikupe BIMA hujatumia zaidi ya mwaka upewe na kula supu ya uzazi.Kwema Wakuu!
Chalamila hapa nitamtaja kama Mhusika bila kuhusisha cheo chake. Ni aina ha watu ambao hawana breki za kuongea na watu wa aina hii mara nyingi huongeaga UKWELI mchungu ambao wakati mwingine huweza kuwaacha watu mdomo wazi.
Chalamila kadiri unavyompa nafasi na Muda WA kuongea ndivyo anavyoweza Kuropoka mambo ambayo ni magumu. Kwa Sisi tunaojua watu aina yake hatuwapagi nafasi Sana ya kuongea au kuwauliza maswali Tata ambayo yatamfanya ajichie.
Chalamila ni kama Kina Tundu Lisu. Tofauti Yao ni Moja. Mmoja anajua kujenga hoja wakati mwingine hawezi kujenga hoja ila wote wanaweza kuwa wanasema ukweli uleule wa Jambo lilelile.
Wasema ukweli mara nyingi hawanaga Staha. Hiyo huwafanya kuitwa roporopo.
Tukirudi kwenye hoja ya Chalamila kuhusu Wajawazito. Yupo sahihi Kabisa
Serikali sio kama imeweza Kabisa lakini angalau inajaribu kujitahidi Kusaidia watu hasa watu wa chini ingawaje zipo changamoto za kiutendaji na kifedha.
Kuna Bima ya CHF kama sijakosea ambayo kwa mwaka ni elfu 40,
Mambo inayotibu Bima hii ni Magonjwa ya kawaida yote.
Ujauzito
Ultrasound
X-ray
Kujifungua na Upasuaji mdogo
N.k.
Hivi mtu unajua Kabisa unaenda kuzaa mtoto au umembebesha Mimba Binti au Mkeo. Kwa nini usiweke angalau kwa siku elfu Moja Miatano kwa siku kisha mwisho wa mwezi wa Kwanza wa Ile Mimba ukate Bima ya elfu 40 kwaajili ya kumsaidia Mkeo au huyo uliyempa Mimba
Au kama umetelekezwa, sio sababu ya kukosa Bima ya elfu 40 kwa Sababusiku hizi Fursa za uzalishaji na kujipatia kipato ni Haki Sawa baina ya Mwanaume na mwanamke. Nikimaanisha huna haja ya kumtegemea Mumeo au mwanaume wakati Fursa zimetolewa Sawa.
Kata Bima ya elfu 40 kwaajili yako kama mwanamke mjamzito.
Na sio kulialia kumtafutia mtu Lawama kwa Jambo linalokuhusu mwenyewe ambalo umerahisishiwa.
Mambo ya huruma huruma, burebure ndio yanaharibu jamii.
Tunajua nchi yetu ni Maskini na jamii zetu nyingi ni Maskini ndio maana serikali kwa sehemu nayo imerahisisha kwa upande wao. Sasa mwaka mzima ushindwe Kutafuta elfu 40 ulipie Bima ati utake serikali ikuhudumie. Huo kama sio Ukengemaji ni nini?
Chukua Bima ya 40 Kisha andaa pesa ya kujifungulia ya dharura na ya uzazi
Hayo ndio majukumu yenyewe. Pumbavu.
Tupo kwa ajili ya wengi wenye kuhitaji msaada wanaoustahili
Tupo hapa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Hapana haiwezekani Kaka Mtibeli gloves ziwe 50kToka hapa
Serikali ikupe BIMA hujatumia zaidi ya mwaka upewe na kula supu ya uzazi.
Kama daftari linamshinda mtu mwenye hali ya chini watoto wanasubili siku likipatikana ataandika mambo ya nyuma, mia tano mzazi anakosa kumpa mtoto pesa ya kula shule.
Hiyo elfu 40000 kwa mwaka inakuaje. Kaka Mtibeli unaujua UMASKINI ewwwwww.
Kwanza waboreshe standard ya maisha ya mbongo.Serikali inakosea kutoa Elimu bure wakati ingepaswa itoe Elimu kwa gharama nafuu kwa kila Mtanzania
Hata elfu 10 Tu kwa Mwaka.
Kuendekeza Bure ni kulemaza hata wale waliokuwa na uwezo wa kupambana
Of course kujifungua ni bure kikubwa ni kujiandaa na gharama ya vitu vidogo vidogo vinavyoambatana na kujifungua ila kama atakwenda kujifungulia kwenye hospitali ya rufaa hapo ndo kulipiaWatu wanataka bure tu kila kitu!
Yani hata wakipeana mimba kwa starehe zao wanataka serikali iwahudumie bure!
Kuna watu wanaongoza kuroga kama matajiriHela za sangoma hawakosi lakini
Hapana haiwezekani Kaka Mtibeli gloves ziwe 50k
Labda kama zinakuja na kifungashio chenye vito.
Kama ni masikini aliruhusuje kubeba mimba?Serikali ikupe BIMA hujatumia zaidi ya mwaka upewe na kula supu ya uzazi.
Kama daftari linamshinda mtu mwenye hali ya chini watoto wanasubili siku likipatikana ataandika mambo ya nyuma, mia tano mzazi anakosa kumpa mtoto pesa ya kula shule.
Hiyo elfu 40000 kwa mwaka inakuaje. Kaka Mtibeli unaujua UMASKINI ewwwwww.
Kaka Mtibeli kujifungua hosptal za gavoo ni bure bila ubishi.Mtu akate Bima kisha aende na vifaa muhimu.
Hawa watoto wanaongea usengrema tu hawajui maisha.Huduma za uzazi hazipatikani mpaka uchangie kwa mwaka mmoja kama si miwili, kua na akili.
Kuna watu wanaongoza kuroga kama matajiri
Kwani huduma za kina mama kwa ajili ya kujifungua bure zipo kwa sababu zipi?Kama ni masikini aliruhusuje kubeba mimba?
Kaka Mtibeli kujifungua hosptal za gavoo ni bure bila ubishi.
Mzazi anafaa aende na kanga na vitu kwa ajili ya mtoto.