Chalinze, Pwani: Rais Samia azindua mradi wa maji na kuzungumza na Wananchi
Miji mingine haina maji kwa miaka na miaka, Chalinze inapewa miradi ya maji tangu Mkapa, JK
 
Miji mingine haina maji kwa miaka na miaka, Chalinze inapewa miradi ya maji tangu Mkapa, JK
Kati ya habari nchi hii inahitaji kulijadili ni hili la JK.
Vinginevyo kuna siku utasikia nchi iko mikononi mwa CDF
 
sisi tutaharisha
Sema wewe usiseme sisi.

Endelea kuteseka,SSH 👇

Screenshot_20220322-162000.png
 
mbona ana amri kote hili swala linamshinda nini? au,tuandamane katiba
Bei zinapandiahwa na demand vs supply na gharama za mafuta kwa sababu ya Russia vs Ukraine.

Hutaki hama Nchi,Rais hana huo ujinga wa maigizo ya awamu ya 5.
 
Hongera SSH pambana Mama upo vizuri, bado Katiba Bora pekee.
 
Back
Top Bottom