Challenge kwa watu wenye nguvu na wasio waoga, mshindi kupata milioni 5

Challenge kwa watu wenye nguvu na wasio waoga, mshindi kupata milioni 5

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
46,398
Reaction score
102,530
Salaam wakuu, siku ya Jana nili pata wageni ambao ndio mara yao kwanza kuja bongo, na kwakuwa wame kuwa waki sikia story za ubabe, nguvu za vijana wengi wa kitanzania.

Wame niomba niandae pambano ili waweza kuji onea kwa macho, nami naleta fursa hii ambapo mshindi ata jipatia milioni 5 Baada ya pambano dhidi ya sokwe.

Hivyo yoyote anaye jiamini ana karibishwa kwenye shindano hili, una takiwa kumpiga sokwe mpaka azimie.
(Hata mkija 100 sio mbaya, kikubwa sokwe adondoke, hela uta lipwa Baada ya kutoka kwenye ulingo).

FB_IMG_17459466927153606.jpg

FB_IMG_17459467487390158.jpg
 
Duh noma sana hii challenge!...


Anyway wakuu mimi ni surveyor na fundi tiles, paving blocks mwenye kimeo anipe jamani njaa itaniua kwenye huu mji wa watu
Mkuu usi subiri fursa nyingine, ibuka ujaribu kupambanana na sokwe huyu ili uji shindie 5million.

we hata Kama una wenzio 3 njooni, kila mmoja ata lipwa tu.
 
Mi nataka anayejiamini tukaokote nazi kwa Mwakinyo tumuoneshe umwamba. Aliyetayari DM me.

Sokwe anaweza kupigana na watu 100 kwa wakati mmoja kwa hiyo challenge yako hapana
mkuu mbona una geuka kunguru mapema hivi?, si huwa Wana sema it's not impossible, the word it's self says I'm possible.
 
Back
Top Bottom