Challenge kwa watu wenye nguvu na wasio waoga, mshindi kupata milioni 5

Challenge kwa watu wenye nguvu na wasio waoga, mshindi kupata milioni 5

Ndugu hilo dude miaka yote linaishi kwa kula organic, linaruka kwenye miti, mvua, jua hana kivuli. Uende upeleke sura yako eti upambane naye. Yeye atakuona kama adui yake wewe unaenda kama mpinzani sasa ana akili ya kutofautisha hayo?

Twende tukaokote nazi mkuu achana na hizi challenge za kuuana.
Dah we Jamaa kweli kunguru, yaani muoga hata kuwaza ushindi hutaki kabisa 😂 😂
 
Back
Top Bottom