Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,620
- 6,780
Itabidi tujikusanye chama kizima raisi utuongize... Hatupaswi kuchagua kazi😂😂😂tuibuke kwa wingi mwanetu 😂🔥🔥
Itabidi tujikusanye chama kizima raisi utuongize... Hatupaswi kuchagua kazi😂😂😂tuibuke kwa wingi mwanetu 😂🔥🔥
Kwahiyo umeamua kubeba challenge za online na kutuchanganyia na chai ya maziwa, tunywe.Salaam wakuu, siku ya Jana nili pata wageni ambao ndio mara yao kwanza kuja bongo, na kwakuwa wame kuwa waki sikia story za ubabe, nguvu za vijana wengi wa kitanzania.
Wame niomba niandae pambano ili waweza kuji onea kwa macho, nami naleta fursa hii ambapo mshindi ata jipatia milioni 5 Baada ya pambano dhidi ya sokwe.
Hivyo yoyote anaye jiamini ana karibishwa kwenye shindano hili, una takiwa kumpiga sokwe mpaka azimie.
(Hata mkija 100 sio mbaya, kikubwa sokwe adondoke, hela uta lipwa Baada ya kutoka kwenye ulingo).
View attachment 3320062
View attachment 3320064
wewe Kama waziri wa ulinzi ita bidi ngulie mbele, maana raisi ana lindwa mkuu😂🤣Itabidi tujikusanye chama kizima raisi utuongize... Hatupaswi kuchagua kazi😂😂😂
Mimi nime toa challenge, hata wewe uki weza njoo tuKwahiyo umeamua kubeba challenge za online na kutuchanganyia na chai ya maziwa, tunywe.
Basi sawa 😂😂 watakaotaka waangalie hii video ya namna wakakavyokufa ⬇️
View attachment 3320143
We kuweza😂, labda sisi ndo tupigweUna niangusha kamanda, huyo sokwe tuna mchapa makofi ya chap chap mbona ata kimbia mwenyewe 😂 😂
njia ya kutokea huijui eboo🤣😂Sokwe anasifa hawezi kukuua mapema atakuchezea kwanza mpaka uombe mwenyewe kufa
kijana fursa haziji mara 2, jaribu mzee baba.We kuweza😂, labda sisi ndo tupigwe
kama ni sokwe wa gombe don't try itWanasema get rich or die trying, mpunga nje nje jaribu bro
Unipite tu, labda makutupora ana nguvu anaweza kujishindia.kijana fursa haziji mara 2, jaribu mzee baba.
Sasa hapo wewe na hao watalii mtapata kesi ya mauwajiVipi na yeye tumpe silaha 🤣
Ndiyo mkuuHii hii ya mama
bro hakuna linalo shindikana chini ya jua, Kikubwa tuwe na imani tu.kama ni sokwe wa gombe don't try it
Kuna mkataba wa kabla ya pambano, msi ogope 😁Sasa hapo wewe na hao watalii mtapata kesi ya mauwaji
Dah wajumbe kumbe ni ma kunguru namna hii😁🤣Unipite tu, labda makutupora ana nguvu anaweza kujishindia.
Bro mshitue mzee wako, huenda ata liweza🤣😁😀😀 makofi ya sokwe unaweza punguza network bure kichwani ,sina hamu
We endelea kukaza fuvu dubwasha likakukamue mafiiDah we Jamaa kweli kunguru, yaani muoga hata kuwaza ushindi hutaki kabisa 😂 😂
Asije akaliuwa bure kwa risasi kusema anaweza kupigana nalo labda kama unataka nifungwe kwa kesi ya mauajiBro mshitue mzee wako, huenda ata liweza🤣😁