Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Raisi analindwa akiwa ametangulia bodi gadi anamfuata... Utatangulia muheshimiwa😂😂😂wewe Kama waziri wa ulinzi ita bidi ngulie mbele, maana raisi ana lindwa mkuu😂🤣
Uta niwakilisha mkuu😂🤣Raisi analindwa akiwa ametangulia bodi gadi anamfuata... Utatangulia muheshimiwa😂😂😂
Kama ndiyo hivyo mimi na majirani zangu zitupite tuKuna mkataba wa kabla ya pambano, msi ogope 😁
Mahale kigoma wamejaa tele.Tutampatia wapi huyo sokwe-ngagi(gorilla) hapo pichani?
Ninavyojua hawapo Tanzania.
Labda unazungumzia sokwe-mtu(chimpanzee) ambao wapo, ila sasa najiuliza utaruhusiwa kupigana nao?
Kaka ko hii pesa tuiache iende?Mkuu Intelligent businessman acha challenge za ajabu, umewahi kuona sokwe akimnasa mtu kofi inakuwaje?.
Tupe location tudondoke chapSi tuko ka 100 uoga wa Nini 🤣😂
Huyo sokwe namshinda kuanzia nguvu za mwili yaani misuli hadi nguvu za kiume yaani umahiri au ustadi wa kugegeda.
Kwahiyo kitita tutaking'oa?Huyo sokwe namshinda kuanzia nguvu za mwili yaani misuli hadi nguvu za kiume yaani umahiri au ustadi wa kugegeda.
Aisee iende kuna haja gani ya kuwekewa zawadi kwenye kifuko cha rambo juu ya jeneza, sokwe hapaki make up mkuu wewe angalia mtoto wake akileta tabu anachofanywa.Kaka ko hii pesa tuiache iende?
We chagua tu sehemu ya kwenda ku spend.Kwahiyo kitita tutaking'oa?
Zanzibar panatosha ndege😁😁We chagua tu sehemu ya kwenda ku spend.
Andaa kinywa chako kitafuna mapochopocho.Zanzibar panatosha ndege😁😁
Sokwe mnyama bob, mna mvagaa chap. Lazima akimbie🤣😂Ngoja kwanza ndugu Intelligent businessman, una maanisha sokwe mnyama au mdada yuko na sura personal? 😂 ili tujue na aina ya pambano.
Pigana na hilo dude mwenyewe kwan we hutaki 5m?Oya haji mnr acha uoga wa kiwaki kenge maji wee, mishumaa ita Waka ila no retreat no surrender
Haya mkuu😋😋😋Andaa kinywa chako kitafuna mapochopocho.
Kwa hilo dude million tano yako baki nayo tu mkuu😁! Huyo akichafukwa anakalisha kijiji yani.Salaam wakuu, siku ya Jana nili pata wageni ambao ndio mara yao kwanza kuja bongo, na kwakuwa wame kuwa waki sikia story za ubabe, nguvu za vijana wengi wa kitanzania.
Wame niomba niandae pambano ili waweza kuji onea kwa macho, nami naleta fursa hii ambapo mshindi ata jipatia milioni 5 Baada ya pambano dhidi ya sokwe.
Hivyo yoyote anaye jiamini ana karibishwa kwenye shindano hili, una takiwa kumpiga sokwe mpaka azimie.
(Hata mkija 100 sio mbaya, kikubwa sokwe adondoke, hela uta lipwa Baada ya kutoka kwenye ulingo).
View attachment 3320062
View attachment 3320064