Challenge kwa watu wenye nguvu na wasio waoga, mshindi kupata milioni 5

Challenge kwa watu wenye nguvu na wasio waoga, mshindi kupata milioni 5

kwamba baada ya pambano wanasindikizwa chini ya tani sita za mchanga na wimbo wa Tuonane Paradiso Kwenye Mjii wa raha, tena bila milion5 dah! :NoGodNo:
Gentleman shughuli isha kamilika, mpinzani ana kusubiri
FB_IMG_17460258324059879.jpg
 
Umeungana na wazungu kutweza utu wa mtu mweusi...ili wakirudi huko kwao waanze kuonyesha kwenye majumba ya cinema. ...jinsi modern African wanavyofight their origin
 
Umeungana na wazungu kutweza utu wa mtu mweusi...ili wakirudi huko kwao waanze kuonyesha kwenye majumba ya cinema. ...jinsi modern African wanavyofight their origin
nime tweza wapi?, na origin ya mtu mweusi ni ipi?.
 
Vp unaruhusiwa kutumia dawa ya kuongeza nguvu?
yan ganja!
 
Wageni wakikuletea pendekezo na wewe ongeza akili zako sio unakurupuka tu kupiga baragumu
 
Hakuna anayeweza shindana na huyo kiumbe. Hao wazungu ni wapumbavu. Wangepambana nae wenyewe.
 
Ndugu hilo dude miaka yote linaishi kwa kula organic, linaruka kwenye miti, mvua, jua hana kivuli. Uende upeleke sura yako eti upambane naye. Yeye atakuona kama adui yake wewe unaenda kama mpinzani sasa ana akili ya kutofautisha hayo?

Twende tukaokote nazi mkuu achana na hizi challenge za kuuana.
Dah we jamaa Kunguru aisee 😂 🤣
 
Back
Top Bottom