Challenge kwa watu wenye nguvu na wasio waoga, mshindi kupata milioni 5

Waoga Sana, wengi ni keyboard warrior.

ila Nina imani TUKANA UONE, Vishu Mtata, Grahams wata kuja ili kutoka jahazi.
Kwa kuwa Mimi nina zaidi ya miaka 78 naomba Kamati ya kuandaa hilo pambano lione namna ya kuniondoa kwasababu ya Uzee

Kama mnavyofahamu, Wazee kwenye hii Nchi tumebaki wachache, kwahiyo mkinishinikiza kupambana na huyo sokwe na nikadundwa

Taifa litakuwa limepoteza Mzee muhimu sana kwenye hii Nchi

Kwa ridhaa yenu, nashauri hilo pambano wapelekwe Vijana waliotoka juzi juzi JKT na wale waliomaliza Vyuo vya juu hivi karibuni na kuambiwa waende VETA 🤗
 
Jana nimeona mahali--hata mashindano ya kula chapati.
Mshindi kala 12(ameniangusha sana).
Kuna majamaa nilikuwa nao boarding--wakiitwa kwenye hii show ,wanaweza maliza zote zinazoshindaniwa.
 
Kwa kuwa Mimi nina zaidi ya miaka 78 naomba Kamati ya kuandaa hilo pambano lione namna ya kuniondoa kwasababu ya Uzee

Kama mnavyofahamu, Wazee kwenye hii Nchi tumebaki wachache, kwahiyo mkinishinikiza kupambana na huyo sokwe na nikadundwa

Taifa litakuwa limepoteza Mzee muhimu sana kwenye hii Nchi

Kwa ridhaa yenu, nashauri hilo pambano wapelekwe Vijana waliotoka juzi juzi JKT na wale waliomaliza Vyuo vya juu hivi karibuni na kuambiwa waende VETA 🤗
Mi naona ma legend ndio mtu ongoze kwenye pambano hili, wewe, ERoni na Shimba ya Buyenze muongoze vita hii dhidi ya sokwe huyu.
 
Back
Top Bottom