Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
huyu jamaa sijamuelewa,anamaanisha kumweka sokwe kifo cha mende kunako 6 kwa 6? Kama ni hivyo basi nimeshinda.
huyu jamaa sijamuelewa,anamaanisha kumweka sokwe kifo cha mende kunako 6 kwa 6? Kama ni hivyo basi nimeshinda.
Mwakinyo ni shosti tu anaetegemea support ya mbwa wake. Man 2 Man Mwakinyo ni kama mtori tu😂 anyan'ganywe mbwa kwanza halafu tuoneshane makali.Mi nataka anayejiamini tukaokote nazi kwa Mwakinyo tumuoneshe umwamba. Aliyetayari DM me.
Sokwe anaweza kupigana na watu 100 kwa wakati mmoja kwa hiyo challenge yako hapana
Watu hawajui balaa la hilo dude likikasirika.Kwa hilo dude million tano yako baki nayo tu mkuu😁! Huyo akichafukwa anakalisha kijiji yani.
Huyo sokwe muscles zake tu ni zaidi ya binadamu ni mgumu kama punda atawanyofoa nyuso zenu hata muwe 7 😁Mkuu usi subiri fursa nyingine, ibuka ujaribu kupambanana na sokwe huyu ili uji shindie 5million.
we hata Kama una wenzio 3 njooni, kila mmoja ata lipwa tu.
Unaweza kulipiwa rambi rambi ndio shida ilipoUta lipwa Baada ya pambano
Tyson in his prime aliomba pambano na sokwe wakamkatalia. Unafikiri watu walikuwa wajinga!?Si tuko ka 100 uoga wa Nini 🤣😂
kaka Mimi naumwa kidogo, ndio maana nakupa mchongo huu wewe legendPigana na hilo dude mwenyewe kwan we hutaki 5m?
brother hebu acha u kunguru, hilo tuna livagaa Kisha tuna lijaza mbata za chap chap mbona lita kimbia.Kwa hilo dude million tano yako baki nayo tu mkuu😁! Huyo akichafukwa anakalisha kijiji yani.
dah we Jamaa una weza kuchimba kaburi kweli?, maana ni muoga Kama konokono.Watu hawajui balaa la hilo dude likikasirika.
Nawauwa vipi, akati mi nime toa mchongo hapo?Wanachama wa chama cha majobless nawashauri muandae mkutano wa dharura ili kuona namna ya kumchagua rais mwingine haraka iwezekanavyo, huyu wa sasa ashaanza kuchanganyikiwa atawauwa.
Siwezi risk maisha yangu kisa 5mdah we Jamaa una weza kuchimba kaburi kweli?, maana ni muoga Kama konokono.
Mi mwenyewe mgonjwakaka Mimi naumwa kidogo, ndio maana nakupa mchongo huu wewe legend
😋Haya mkuu😋😋😋
Bro Evelyn Salt ????😂😂😂My brother from another mother, ewe charismatic fela GENTAMYCINE hii ndio nafasi ya kuonyesha ubabe wako comrade.
ili wale wanao kuita keyboard warrior, waweze kuacha mara Moja.
Bro Evelyn Salt usi jisahaulishe
Hiyo avatar yako!!!😵