Challenge kwa watu wenye nguvu na wasio waoga, mshindi kupata milioni 5

Challenge kwa watu wenye nguvu na wasio waoga, mshindi kupata milioni 5

mkuu mbona una geuka kunguru mapema hivi?, si huwa Wana sema it's not impossible, the word it's self says I'm possible.
Ndugu hilo dude miaka yote linaishi kwa kula organic, linaruka kwenye miti, mvua, jua hana kivuli. Uende upeleke sura yako eti upambane naye. Yeye atakuona kama adui yake wewe unaenda kama mpinzani sasa ana akili ya kutofautisha hayo?

Twende tukaokote nazi mkuu achana na hizi challenge za kuuana.
 
Salaam wakuu, siku ya Jana nili pata wageni ambao ndio mara yao kwanza kuja bongo, na kwakuwa wame kuwa waki sikia story za ubabe, nguvu za vijana wengi wa kitanzania.

Wame niomba niandae pambano ili waweza kuji onea kwa macho, nami naleta fursa hii ambapo mshindi ata jipatia milioni 5 Baada ya pambano dhidi ya sokwe.

Hivyo yoyote anaye jiamini ana karibishwa kwenye shindano hili, una takiwa kumpiga sokwe mpaka azimie.
(Hata mkija 100 sio mbaya, kikubwa sokwe adondoke, hela uta lipwa Baada ya kutoka kwenye ulingo).

View attachment 3320062

View attachment 3320064
Mmelikata kucha na meno???? Au ndo mwataka mkatoe watu kafara kijanja ili muingize hisa
 
Acha uongo wewe. Hii challenge imewekwa na Mr beast kule X,unamaanisha huyo ndo mgeni wako?

Screenshot_20250429_213541_X.jpg
 
Back
Top Bottom