Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mkuu usi subiri fursa nyingine, ibuka ujaribu kupambanana na sokwe huyu ili uji shindie 5million.Duh noma sana hii challenge!...
Anyway wakuu mimi ni surveyor na fundi tiles, paving blocks mwenye kimeo anipe jamani njaa itaniua kwenye huu mji wa watu
naam, na kingine pambano lita kuwa live, ili kuondoa wasiwasi wa kudhurumiwa hela yao ya ushindi.
Mkuu kwani wewe hiyo fursa huitaki?Mkuu usi subiri fursa nyingine, ibuka ujaribu kupambanana na sokwe huyu ili uji shindie 5million.
we hata Kama una wenzio 3 njooni, kila mmoja ata lipwa tu.
Shida vijana wa siku hizi wanachagua fursa utashangaa hakuna atayekubalinaam, na kingine pambano lita kuwa live, ili kuondoa wasiwasi wa kudhurumiwa hela yao ya ushindi.
mkuu mbona una geuka kunguru mapema hivi?, si huwa Wana sema it's not impossible, the word it's self says I'm possible.Mi nataka anayejiamini tukaokote nazi kwa Mwakinyo tumuoneshe umwamba. Aliyetayari DM me.
Sokwe anaweza kupigana na watu 100 kwa wakati mmoja kwa hiyo challenge yako hapana
Kama vipi sister washitue marafiki zako wa uswahilini, ili mje mji bebee kibunda hiki chap.Shida vijana wa siku hizi wanachagua fursa utashangaa hakuna atayekubali
Wahi kabla nafasi hazija isha, ila uta saini mkataba wa kukubali vigezo na masharti mzee.Nipo najifua sasa hivi hyo fursa haiwezi kunipita
mimi ndio promota wa pambano, una taka wenzio wakose fursa ebooMkuu kwani wewe hiyo fursa huitaki?
Waoga Sana, wengi ni keyboard warrior.Shida vijana wa siku hizi wanachagua fursa utashangaa hakuna atayekubali
Masharti ni yapi hayoWahi kabla nafasi hazija isha, ila uta saini mkataba wa kukubali vigezo na masharti mzee.