Hiii bhaghosha!!Sisi wasukuma hatuna deni
View attachment 3331038
ngoja nikuwekee picha ya wale wazee waliovunjwa miguu walipoenda mahakamaniWakuu,
Nacheka kama mazuri lakini moyo unauma.
Viongozi wanapayuka kila siku mama hana deni lakini yeye ndio anawadai wananchi kwa kazi nzuri iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) aliyofanya! Kuna mabango kede kede huko mtaani kusema mama hana deni, mama anaupiga mwingi, mama anatosha katika kila mkoa nchini.
Kwa kusema hivyo inamaana mama amefanikiwa kwa 95% ya uongozi wake, hizo 5% tunaachia kwenye kasoro za kibinadamu, kuanzia kwenye suala la huduma za kijamii, hali ya maisha ya watu, ajira, uchumi na hata usalama tukiangazia kwenye matukio ya kutekwa na watu kuuliwa na/au kujeruhiwa.
Embu tufanye hii challenge tujue kama kweli hatumdai, maana inawezekana tunatoa povu hapa wakati wenzetu mnaishi kama mpo Newyoko😂😂😂
Kokote ulipo piga picha hilo bango wanalosema mama hana deni kisha tuambie ni kweli huko hamumdai mama lakini yeye ndio anawadai?
Tuchangamke Wakuu tunakimbizana na muda🌚🌚
====
Kwenye pitapita zangu nilikutana na hili, japokuwa hamna maandishi ya mama hana deni... ila naliweka wakazi wa Same watatuambia huduma hii ya maji na zinginezo zikoje? Wanaishi kama wapo Newyoko? Kweli hawana deni na mama?
Kwa upande wa Daslam kwakweli mama una deni kuishinda hadi serikali🥲, barabara ya mtaa natamani redbull ingekuwa inatoa mabawa kweli nisipate adha ya kupita........ sasa hapo nimeanzia chini kabisaaa, hatujafika kwenye mambo nyeti. Mimi Cute Wife kwakweli mama nakudai! Tena si kitoto, na kulipa hilo deni sioni ukifanikiwa! Kama mwanamke ndio kabisa umenifelisha pakubwa mpaka nabubujikwa machozi ha huzuni kama Lucas Mwashambwa😭😭.
Wakuu twende kazi, muda mchache, semeni kweli mama hana deni?
Gen Z msiniangusha kwenye hii challenge, embu tuipaishe hadi kule tukuyu ndani ndani iwafikie, nchi nzima tujue ni kweli mama hana deni?
Viraka vinaongezeka au vinapungua.?Umevaa nguo yenye viraka toka enzi za Mwalimu, Leo unataka umlaumu Samia kwa lipi?
Wakuu,

Haiombwi hivyo Mkuu hata mama ako ndio maana anatafuta chawa wamsaidie kuomba, utakufa vibayaa weweeUna genye ww, katafute mwanaume we danga

Napiga picha kutoka muhimbili na mloganzila. Bei ya KITANDA Kwa mtanzania wa kawaida ni shiling 50000/= hii ipo kwenye bango gani hapa nchini???? Mbona watu wanashindwa kuchhukua maitiWakuu,

Huu sio ujengaji wa hoja. Mimi nipo Jijini Mwanza. Leo nyumbani kwangu imepita gari inatangaza Mkutano wa Chadema kesho Igoma. Imepita kwenye barabara nzuri zilizojengwa na Serikali ya CCM chini Mama Samia!🤣🤣🤣🤣Una genye ww, katafute mwanaume we danga
Baambie haoHuu sio ujengaji wa hoja. Mimi nipo Jijini Mwanza. Leo nyumbani kwangu imepita gari inatangaza Mkutano wa Chadema kesho Igoma. Imepita kwenye barabara nzuri zilizojengwa na Serikali ya CCM chini Mama Samia!🤣🤣🤣🤣
Ni mambo mengi sana.Baambie hao.... ila Mkuu, kwahiyo barabara tu imekukosha kuona mama hadaiwi Mwanza?
Wee saangapi mkutanoHuu sio ujengaji wa hoja. Mimi nipo Jijini Mwanza. Leo nyumbani kwangu imepita gari inatangaza Mkutano wa Chadema kesho Igoma. Imepita kwenye barabara nzuri zilizojengwa na Serikali ya CCM chini Mama Samia!🤣🤣🤣🤣