Challenge: Kweli hatumdai mama na yeye ndio anatudai? Piga picha ya bango la mama mkoani kwako na useme kama humdai

Mimi namdai hilo tu manake ametajwa
 

Attachments

  • Screenshot_20240919-115629_1.jpg
    324.1 KB · Views: 21
Mimi ninamdai nataka mambo mawili na yote ajanilipa hata Moja la kwanza ni katiba mpya na la pili ni tume huru ya uchaguzi,
Asipo nilipa no reform no election 💯
 
Anadaiwa zaidi ya Deni la Taifa! Vijana hawana ajira!
Your browser is not able to display this video.
 
Oyaa mbona watu wameanza kuweka mapicha ya A.I ....umaskini Tanzania ulishaisha...sasa hivi mpaka watumishi wa Umma wanapata mshahara sawa na wabunge, Maneno ya 📢🔈.
 
Dr.Samia Suluhu Hana deni kwa waTanzania, na uthibitisho wa hilo upo wazi kabisa kwenye utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa mwaka 2020-2025.

Ameisimamia ilani ya uchaguzi,
ameitekeleza na kuikamilisha kwa 100%, waTanzania wote ni mashuhuda.
Na huo ndio ulikua mkataba baina yake na waTanzania wote. Anadaiwa nini tena na nani?

Nadhani yeye ndie ana tunatudai kama Taifa na kwa hali hilivyo, bilashaka tutamuongeza mkataba mwingine mpya wa miaka mi5 ijayo kuanzia mapema October mwaka huu 2025.

Well done Dr Samia Suluhu Hassan,
We are proud of you Mama 💪👊
 
Haiombwi hivyo Mkuu hata mama ako ndio maana anatafuta chawa wamsaidie kuomba, utakufa vibayaa wewee

Afu wewe unalipwa af 3 za kutetea upuuzi na mimi nani awashwa? Epuka hizi aibu ndogo ndogo bana Mkuu🤣🌚
Nakuonea Huruma Wewe
In Magembe Voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…